Inakuwaje bei ya mafuta Tanzania inakuwa ghali kuliko nchi ambazo zinapitisha bidhaa hiyo bandari ya Tanzania?

Nchi IPO chini ya mzanzibari hii tusitegemee uongozi Bora hata siku moja.

JK ndiye raisi WA nchi hii huyu mama ni kama remote control
Ujumbe wako unadharau sana,kwa hiyo taasisi yote ya Rais kila siku inaripoti kwa Jk.
Kuweni na adabu.
Huwezi nyamaza
 
Ni aibu kama nchi!

Wilayani Ngara mkoa wa Kagera lita ya petroli inauzwa Tsh. 2630 wakati huo huo upande wa Rwanda Wilaya ya Kirehe ambapo hazizidi kilomita 40 ufike petroli lita ni Tsh. 2000.

Kazi kwenu wadau na tumpongeze mama kwa kuupiga mwingi
Na mkome!

Wakati Mwigulu anasoka bajeti hamkusikia kama mafuta yatapanda?

Ohh,... Nmekumbuka, kumbe mlikuwa busy kusaini petition ya kumtoa Mondi BET
 
Nchi IPO chini ya mzanzibari hii tusitegemee uongozi Bora hata siku moja.

JK ndiye raisi WA nchi hii huyu mama ni kama remote control
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si kipenzi chako huyo?

Na jk ulimmiss hadi ukatamani arudi awe rais?

Mama anaupiga mwingi
 
Bajeti ya Mwigulu,iliyokuwa inasifiwa na kupitiswa na wabunge wengi.

"Wapinzani walipotezea muda sana, nasema uwongo ndugu zangu?"
Mlikuwa busy kumsifia mama kwamba kawapa zawadi ya kumpeleka Sabaya kisongo huku wengine wakisaini petition ya kumtoa MONDI kwenye tuzo za BET,

Huku wenzenu wakifanya yao bungeni
 
Kwa mujibu wa bavicha, mama anafungua nchi na kurudisha hela mtaani ili wawe wanaziokota,
 
Ni aibu kama nchi!

Wilayani Ngara mkoa wa Kagera lita ya petroli inauzwa Tsh. 2630 wakati huo huo upande wa Rwanda Wilaya ya Kirehe ambapo hazizidi kilomita 40 ufike petroli lita ni Tsh. 2000.

Kazi kwenu wadau na tumpongeze mama kwa kuupiga mwingi
Mkuu juzi nilikua Burundi lita1700
 
Samia atakuja kuwa Rais weak kabisa kuwahi kutokea Tanzania. Na huu ni mwanzo tu.
 
Ni aibu kama nchi!

Wilayani Ngara mkoa wa Kagera lita ya petroli inauzwa Tsh. 2630 wakati huo huo upande wa Rwanda Wilaya ya Kirehe ambapo hazizidi kilomita 40 ufike petroli lita ni Tsh. 2000.

Kazi kwenu wadau na tumpongeze mama kwa kuupiga mwingi
Wachuuzi wataibuka hapo wananunua lita 2000 wanakwenda kuuza 2300
 
Ni aibu kama nchi!

Wilayani Ngara mkoa wa Kagera lita ya petroli inauzwa Tsh. 2630 wakati huo huo upande wa Rwanda Wilaya ya Kirehe ambapo hazizidi kilomita 40 ufike petroli lita ni Tsh. 2000.

Kazi kwenu wadau na tumpongeze mama kwa kuupiga mwingi

Pengine kodi zetu za mafuta ziko juu kulinganisha na za rwanda
 
Moja ya comment bora..kimsingi hii nchi ina viongozi wa uchumi wapuuzi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu shika adabu kijana.
 
Mama ashaanza kukwama walahiii… pamoja na petrol kutokutumika kwa wingi nje za nchi sababu ya corona ila kashindwa kucontrol mfumuko wa bei hapa mama anakwama sanaa
 
Tozo ni nyingi hatari but 2650 ni bei ya kawaida tuu kulingana na tozo zilivyo nyingi..

Mtoa mada hamia Rwanda hakuna namna 😆😆😆😆
 
Inakuwaje bei za mafuta Tanzania ziwe kubwa kuliko bei za mafuta Zambia ilihali Zambia wanapitisha mafuta kwenye bandari na Bomba letu?

Majibu ya swali hili yatakua ni magumu sana.

Lakini ndio hivyo mnatakiwa kujibu majibu ya uwazi na ukweli.

Haya sasa twendeni kazi tujibu hili swali.
 
Ni aibu kama nchi!

Wilayani Ngara mkoa wa Kagera lita ya petroli inauzwa Tsh. 2630 wakati huo huo upande wa Rwanda Wilaya ya Kirehe ambapo hazizidi kilomita 40 ufike petroli lita ni Tsh. 2000.

Kazi kwenu wadau na tumpongeze mama kwa kuupiga mwingi

kweny uchaguz ulitumbukiza kura ngap kwenye box?
 
Jamani kunaissue ya Kodi kwa ajili ya barabara nadhani na maji na afya
 
Soko huria, wanaoweza nunueni petroli kutoka Rwanda, wachuuzi wa Ngara watajibeba!
Thubutu hapa natokea tunduma gari yangu inapekuliwa na Traffic kana nimebeba sukari ya Zambia ili wanikamate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…