Inakuwaje bei ya mafuta Tanzania inakuwa ghali kuliko nchi ambazo zinapitisha bidhaa hiyo bandari ya Tanzania?

Sio manji tu wakina Singasinga, Makonda na wengine kibao
 
Mbona umeandika maneno tu hapo?nikajua ntakutana na bonge la ushahidi....!
 
Nauli zipande ili wananchi wa-riot
 
Weka ushahidi hapa maana alifutiwa mashtaka yote na mahakama wakati wa utawala uliopita. Kwani alitokea gerezani wakati anaenda marekani!?!?
 
Weka ushahidi hapa maana alifutiwa mashtaka yote na mahakama wakati wa utawala uliopita. Kwani alitokea gerezani wakati anaenda marekani!?!?
Alifutiwa mashtaka ya kukutwa na sare za jeshi sio ukwepaji kodi ama kuchukua pesa za umma kwenye taasisi na kugome kupeleka huduma.

Ndio maana juzi alipokuja akakamatwa takukuru walisema kwa nini wamemkamata kwamba wakati anatoroka alikua na kesi zilizokua zinachunguzwa za kodi na kukimbia na hela za umma.

Nenda mahakama ya kodi, kesi zinazomhusu manji ni za kutosha.
 
Hapo ndio pa kuanzia mjadala huu badala ya kumtukana rais maana kodi hizo zipo miaka mingi tu nyuma serikali hii imeongeza nafikiri tozo moja tu!!! Na tujadili hizo tozo zina tija kwa nchi yetu!?? Mfano EWURA,VETA,SGR n.k
 
Mimi since day one mama anateuliwa nilijua tu lazima achemke... Hii inchi inataka watu wadizaini ya magu uwe mfatiliaji wa mambo na officen usikae!! Sio kukutana mara na mashehe mara mapadri hii haina Tija yoyote kwa taifa... Sasa huu mziki wa kiwese sijui wamewaza nini aisee maana vyuma vitapaki sana walahi yani now mtu mwenye gari ya petrol ukiwa na elfu 10 ni lita 3 na kidogo si uchawi huu walai... Tutegemee pia na bidhaa kupanda bei zaidi maana kiwese ndo uchumi wenyewe yakipanda na bidhaa zinapanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yetu macho kwa sasa wa ufipa karudi ufipan 'na mataga. Kabaki. Utagan [emoji23][emoji12][emoji12]
 
kivuli cha magu kitawatesa sana. Kubalini yaishe
 
wivu utakuua tafuta pesa hiyo roho mbaya ikutoke.
 
Bunge la ccm hoyeee! Twende hivi hivi. Asiyetaka kwani kalazimishwa akanunue hayo mafuta??😅😅
 
Acha kulalamika vitu vya kipuuzi kanunue mafuta Rwanda
 
Nchi IPO chini ya mzanzibari hii tusitegemee uongozi Bora hata siku moja.

JK ndiye raisi WA nchi hii huyu mama ni kama remote control
mtauana mwaka huu. Ndio kwanza miezi mitatu. Miaka mitano mtafika kweli? Na bado mama tunamwongeza 10 tena atake asitake tutamlazimiaha tu
 
Mkuu kwani Rwanda wanatawaliwa na Chama hiki hiki cha huku??
 
Mama anapotoka sana. Kodi kwenye mafuta ina implication kubwa mno kwenye maeneo mengine nyeti. Harafu hii “Tshs 100 kwa kila lita moja” ni kubwa sana when you look at the bigger picture
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…