Inakuwaje bongo fleva inapigwa Kanisani na nyimbo za dini zinapigwa kwenye kumbi za starehe

Muziki Ni haramu
Marehemu Mudi amefanikiwa sana kuwapumbaza wafuasi wake.

Kila kitu kizuri hakutaka ninyi mkipate, mziki aliwadanganya ni haramu kumbe yeye anauimba na kucheza kimya kimya na yule mke wake kale katoto kadogo cha miaka 9 sijui kaliitwa Hadija.

Kitimoto akawadanganya pia ni haramu kumbe alikuwa akirostiwa na Bi Hadija anajificha chumbani anakula na pombe,

Ashakufa, hayupo tena acheni kumuogopa kuleni kitimoto, kuleni bia, serebuka mziki, mnafeli wapi ninyi wafuasi wa dini ya mnyazimungu????
 
nijuavyo mkiwa night club zile nyimbo 5 za mwisho mida ila ya saa tisa/kumi alfajiri - nyimbo mbili huwa ni za dini, kuwakumbusha wahusika wamekesha lakini kilichowawezesha ni zaidi ya wajuavyoo hahaaaa
 
nijuavyo mkiwa night club zile nyimbo 5 za mwisho mida ila ya saa tisa/kumi alfajiri - nyimbo mbili huwa ni za dini, kuwakumbusha wahusika wamekesha lakini kilichowawezesha ni zaidi ya wajuavyoo hahaaaa
Ahaa! kumbe,Ahsante...
 
Kama nitapewa majibu kwa kutumia maandiko nitashukuru sana!

( Tumsifu kristo)
Filp 2:10-11 inasema Hivi
Ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe,na vyote vya duniani ,na chini ya nchi,na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA kwa utukufu wa Mungu baba
 
Amina kabisa
 
“Hili nimelishuhudia mwenyewe kwa masikio yangu mawili;”,mwisho wa kunukuu
 
Kama jumapili nimepita bar mpya hapa nyuma ya mwanamboka karibu na sheli, aisee nikaona zinapigwa gospel hatari! Tena ni zile copy za live.
Ni kama wale jamaa wanaopiga muziki wa zamani live, sasa wao wakawa wanapiga gospel maarufu live hivyo hivyo yaani unaona gitaa, kinanda, drums nk.

Ikabidi na mimi nipitie nipate safari za baridi 2 3 huku napata upako. Kibaya zaidi ukishapata upako pale pembeni tu pana malaya wanakusubiri wakupe majaribu je, upako wa roho mtakatifu umeingia au utaangukia majaribuni!
 
Hivi kwanini Bwana anapenda kusifiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwanini Bwana anapenda kusifiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Dah.
 
Hapo umejibu kama yule jamaa wa kuhani musa anayesemaga;
Yessss, ndiyoooo, amina babaaaa, kweliii.
😂😂😂😂Nishangaa Sana Siku ya kwanza nasikia mwenye redio mchungaji anahubiri halafu kwa nyuma Kuna mtu anachombeza ....
 
Hata ombaomba siku hizi hawaendi kanisani.. wanakuja Bar[emoji23][emoji23]

Ndo ujiulize kama walevi hatuendi mbinguni

Sent from my SAMSUNG-SM-J327A using JamiiForums mobile app
 
Kanisa gani wanalopiga bongo flavor?
 
Kanisa gani wanalopiga bongo flavor?
Yapo tena mengi Tu,Juzi tu hapa maene yetu Mwz wamepiga Ule wa wadada wanatikisa matako Siujui ila sio kwaya! Nikiupata nitaweka hapa tena j.pili
 
Sasa nyimbo za dini zikipigwa kanisani ndio zitasaidia nini? zinatakiwa kupigwa kwenye madanguro huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…