Mbitiyapi01
Member
- Apr 25, 2022
- 78
- 251
Unatafuta watu maneno.....Muziki Ni haramu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafuta watu maneno.....Muziki Ni haramu
Bar hatupigi nyimbo za hovyo hovyoAjabu ni kuwa huwezi kukuta qaswida bar
Uharamu wake ni nini?Muziki Ni haramu
Marehemu Mudi amefanikiwa sana kuwapumbaza wafuasi wake.Muziki Ni haramu
Filp 2:10-11 inasema HiviKama nitapewa majibu kwa kutumia maandiko nitashukuru sana!
( Tumsifu kristo)
Amina kabisaZABURI 150:1-6
1 Msifuni Bwana.
Msifuni Mungu katika patakatifu pake,
msifuni katika mbingu zake kuu.
2 Msifuni kwa matendo yake makuu,
msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake.
3 Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta,
msifuni kwa kinubi na zeze,
4 msifuni kwa matari na kucheza,
msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi,
5 msifuni kwa matoazi yaliayo,
msifuni kwa matoazi yavumayo sana.
6 Kila chenye pumzi na kimsifu Bwana.
Msifuni Bwana!
Hivi kwanini Bwana anapenda kusifiwa?ZABURI 150:1-6

Hapo umejibu kama yule jamaa wa kuhani musa anayesemaga;Amina kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23] Dah.Kama jumapili nimepita bar mpya hapa nyuma ya mwanamboka karibu na sheli, aisee nikaona zinapigwa gospel hatari! Tena ni zile copy za live.
Ni kama wale jamaa wanaopiga muziki wa zamani live, sasa wao wakawa wanapiga gospel maarufu live hivyo hivyo yaani unaona gitaa, kinanda, drums nk.
Ikabidi na mimi nipitie nipate safari za baridi 2 3 huku napata upako. Kibaya zaidi ukishapata upako pale pembeni tu pana malaya wanakusubiri wakupe majaribu je, upako wa roho mtakatifu umeingia au utaangukia majaribuni!
😂😂😂😂Nishangaa Sana Siku ya kwanza nasikia mwenye redio mchungaji anahubiri halafu kwa nyuma Kuna mtu anachombeza ....Hapo umejibu kama yule jamaa wa kuhani musa anayesemaga;
Yessss, ndiyoooo, amina babaaaa, kweliii.
Hata ombaomba siku hizi hawaendi kanisani.. wanakuja Bar[emoji23][emoji23]Hili nimelishuhudia mwenyewe kwa masikio yangu mawili;
1. Nyimbo za Anasa kupigwa kanisani yaani kama Bongo fleva.
2. Nyimbo za Ibada kama kwaya kupigwa kwenye Kumbi za Starehe.
Tunafahamu huko kote ndipo walipo waumini lakini mazingira kama ya kumbi za starehe unapiga ile Nyimbo ya "Hakuna Mungu kama wewe" kumbuka Ndani ya hizo kumbi kuna Anasa na Uchafu wa kila aina.
Kama nitapewa majibu kwa kutumia maandiko nitashukuru sana!
( Tumsifu kristo)
Qaswida haina vibe sheikh,unaazaje sasa kucheza Kwa mfano?Ajabu ni kuwa huwezi kukuta qaswida bar
Sasa nyimbo za dini zikipigwa kanisani ndio zitasaidia nini? zinatakiwa kupigwa kwenye madanguro huko.Hili nimelishuhudia mwenyewe kwa masikio yangu mawili;