Mh. Mbowe umepigana Sana kuwatetea watanzania .ila watanzania inaonyesha hawako tayari kukombolewa na covid CCM nakushauri mwanangu wewe ni tajiri toka enzi.
Acha Hawa watanzania maskini wajitafutie haki Yao wenyewe rangi nyekundu ya maji isiwe juu yako maana Sasa wanakukejeli mpaka wapumbavu wa clouds acha damu ya lisu ijitetee ina nguvu mnoo kuliko upuuzi wa kuwatetea wapumbavu.
Ndio mshinde nyie mtengeneze vyama feki watanzania wajitetee wenyeweUmepima pressure?
Siasa ni ajiraMbowe fanya Sasa ili watanzania waishi na mamluki wa CCM .
Ipo siku watakukumbuka wewe na damu ya lisu na sanane.
Mbowe huna Cha kupoteza.
Lisu huna Cha kupoteza.
Sanane damu yake itajipambania.
Achaneni na watanzania bado ni wapumbavu.
Superbug.
Hakika mkuu..... Mbowe ni mwamba!Mm ni CCM, Baba angu ni Kiongozi wa CCM, ila Nakubaliana na ww Mtoa Mada. Hakuna M/Kiti wa Mpinzani mwenye uwezo mkubwa wa kuunda timu ya Vijana Wasomi wenye Uzalendo wa hali ya Juu kama yeye.
Nani anaweza kukuza Vijana kama Zitto, Lissu, Mdee, Mnyika, Msigwa, Lema, Silinde, Bulaya.
Bwashee hata Magufuli kwa utendaji wake anastahili kuongezewa muda!Mkuu johnthebaptist unaakili Sana japo huwa unaipendelea Sana CCM ila kwa bandiko hili nimekuelewa Sana . Naomba niishie hapa ila punguza kuipendelea CCM chama kinachoonea wananchi ila kwa bandiko hili nakupa heko maana ni dongo kwa wale wanaotaka magufuli atawale milele.
Msg ya kwanza ulishaeleweka huku kwingine mbwembwe comradeBwashee hata Magufuli kwa utendaji wake anastahili kuongezewa muda!
Kama CCM kilivyojipa hati miliki ya kuongoza Tanzania hata wakishindwa wana lazimishaNapendekeza Chadema irekebishe katiba yake ili kumpa mwenyekiti Mbowe fursa ya kudumu katika nafasi yake.
Kiukweli Mbowe ameitendea mengi Chadema ambayo siyo rahisi kumpata mtu wa kuyaendeleza endapo atastaafu.
Katiba ya Chadema siyo msahafu wala Biblia inaweza kurekebishwa kukidhi mahitaji ya wakati.
Wanachama wanataka maendeleo na kama wanayapata " kwa uhakika " kupitia kwa Mbowe kwanini asiongezewe muda?!!
Siasa ni sayansi.
Maendeleo hayana vyama!