Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Mh. Mbowe umepigana Sana kuwatetea watanzania .ila watanzania inaonyesha hawako tayari kukombolewa na covid CCM nakushauri mwanangu wewe ni tajiri toka enzi.

Acha Hawa watanzania maskini wajitafutie haki Yao wenyewe rangi nyekundu ya maji isiwe juu yako maana Sasa wanakukejeli mpaka wapumbavu wa clouds acha damu ya lisu ijitetee ina nguvu mnoo kuliko upuuzi wa kuwatetea wapumbavu.
 
Umepima pressure?
 
Mbowe fanya Sasa ili watanzania waishi na mamluki wa CCM .

Ipo siku watakukumbuka wewe na damu ya lisu na sanane.

Mbowe huna Cha kupoteza.
Lisu huna Cha kupoteza.
Sanane damu yake itajipambania.

Achaneni na watanzania bado ni wapumbavu.

Superbug.
 
KUNA MUDA HUWA NAHISI HII NCHI ILIWEKEWA MISINGI YA KUTAWALIWA NA CHAMA KIMOJA

NA KUBWA ZAIDI KUNA ZINDIKO LILIFANYIKA KUWAFANYA RAIA KUWA WAPUMBAVU, WE ARE NOT SMART ENOUGH
 
Tatizo la nchi hii ni CCM iliyo tuletea kiumbe huyu wa ajabu, asie na haya wala akili, anaeropoka hovyo wala hajui aingenii wapo na muda gani!

Sasa kwakuwa watu wanaabudu sana kiti alichokalia kiumbe huyu, wamegeuka wajinga wa kumsifia kiumbe huyu asiefaa kabisa hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napendekeza Chadema irekebishe katiba yake ili kumpa mwenyekiti Mbowe fursa ya kudumu katika nafasi yake.

Kiukweli Mbowe ameitendea mengi Chadema ambayo siyo rahisi kumpata mtu wa kuyaendeleza endapo atastaafu.

Katiba ya Chadema siyo msahafu wala Biblia inaweza kurekebishwa kukidhi mahitaji ya wakati.
Wanachama wanataka maendeleo na kama wanayapata " kwa uhakika " kupitia kwa Mbowe kwanini asiongezewe muda?!!

Siasa ni sayansi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mkuu johnthebaptist unaakili Sana japo huwa unaipendelea Sana CCM ila kwa bandiko hili nimekuelewa Sana .

Naomba niishie hapa ila punguza kuipendelea CCM chama kinachoonea wananchi ila kwa bandiko hili nakupa heko maana ni dongo kwa wale wanaotaka magufuli atawale milele.
 
Mm ni CCM, Baba angu ni Kiongozi wa CCM, ila Nakubaliana na ww Mtoa Mada. Hakuna M/Kiti wa Mpinzani mwenye uwezo mkubwa wa kuunda timu ya Vijana Wasomi wenye Uzalendo wa hali ya Juu kama yeye.

Nani anaweza kukuza Vijana kama Zitto, Lissu, Mdee, Mnyika, Msigwa, Lema, Silinde, Bulaya, Safari, Salum Mwalimu na Slaa.

Nikiwa Mkubwa natamani kuwa Kama Mbowe.

Mm napenda Upinzani, natamani Baba angu nae awapende wapinzani, Wapinzani wanaleta Chachu ya Maendeleo.
 
Mm ni CCM, Baba angu ni Kiongozi wa CCM, ila Nakubaliana na ww Mtoa Mada. Hakuna M/Kiti wa Mpinzani mwenye uwezo mkubwa wa kuunda timu ya Vijana Wasomi wenye Uzalendo wa hali ya Juu kama yeye.

Nani anaweza kukuza Vijana kama Zitto, Lissu, Mdee, Mnyika, Msigwa, Lema, Silinde, Bulaya.
Hakika mkuu..... Mbowe ni mwamba!
 
Mkuu johnthebaptist unaakili Sana japo huwa unaipendelea Sana CCM ila kwa bandiko hili nimekuelewa Sana . Naomba niishie hapa ila punguza kuipendelea CCM chama kinachoonea wananchi ila kwa bandiko hili nakupa heko maana ni dongo kwa wale wanaotaka magufuli atawale milele.
Bwashee hata Magufuli kwa utendaji wake anastahili kuongezewa muda!
 
Napendekeza Chadema irekebishe katiba yake ili kumpa mwenyekiti Mbowe fursa ya kudumu katika nafasi yake.

Kiukweli Mbowe ameitendea mengi Chadema ambayo siyo rahisi kumpata mtu wa kuyaendeleza endapo atastaafu.

Katiba ya Chadema siyo msahafu wala Biblia inaweza kurekebishwa kukidhi mahitaji ya wakati.
Wanachama wanataka maendeleo na kama wanayapata " kwa uhakika " kupitia kwa Mbowe kwanini asiongezewe muda?!!

Siasa ni sayansi.

Maendeleo hayana vyama!
Kama CCM kilivyojipa hati miliki ya kuongoza Tanzania hata wakishindwa wana lazimisha
 
Back
Top Bottom