Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katika watu wenye shallow analysis JF unaongoza!Ni lini au ni wapi CCM ilitangaza kuwa haimtaki Mbowe agombee au aendelee kuwa Mwenyekiti Taifa CHADEMA? Acheni Uwongo, Majungu na Uswahili. CHADEMA kamwe haimalizwi na CCM bali ukiwa na Akili timamu kabisa utagundua ya kwamba CHADEMA inajimaliza yenyewe na kama kuna Chama cha Upinzani nchini Tanzania ambacho kimetengeza Makundi makubwa ndani ya Chama na kuna ' Moto ' wa chini chini ' unafukuta ' huko ila unafichwa kwa Kivuli cha Kuisema na Kuisakama CCM basi ni CHADEMA.
Na ili Kulithibitisha hilo nakuomba anza sasa Kufuatilia huu Mchakato mzima wa Uchukuaji Fomu ndani ya CHADEMA ndipo utajua kuwa GENTAMYCINE huwa sibahatishi kwa yale niyasemayo. Hivi unadhani kama CHADEMA kungekuwa Shwari Mwenyekiti wake angetengeza Watu wajifanye wanamtaka, wanamkubali hadi Kumchukulia Fomu? CHADEMA kungekuwa Shwari na Mbowe anakubalika Mzee Sumaye angechukua Fomu pamoja na Yule Mbunge wa Mtwara? Na nasikia ( japo bado sijathibitisha ) kwamba muda wowote Mbunge John Heche nae atachukua Fomu.
Hivi unadhani kwa Kiu hiki cha Uongozi ndani ya CHADEMA mfano Mbowe akiendelea tena kuwa Mwenyekiti hawa akina Sumaye, Heche na Yule Mwingine ambao nao pia wana Makundi yao ndani ya CHADEMA watafurahi na hata Kunyamaza kwa Kuridhika? Namalizia kwa Kukutabiria mapema tu kuwa kama Mbowe akipita tena kati ya hawa akina Sumaye, Heche na Yule Mbunge wa Mtwara na hata ' Waandamizi ' wengine ndani ya CHADEMA kwa Hasira watahamia upesi CCM. Nakuomba uitunze hii ' Post ' yangu tafadhali kwani kuna Watu wengine ' tumebarikiwa ' Maono makali na makubwa na Mwenyezi Mungu kiasi kwamba 95% ya yale ambayo huwa tunayasema huja Kujitokeza / Kujidhihiri.
katika watu wenye shallow analysis JF unaongoza!
Na ndiyo maana ume opt matusi maana akili yako imeishia hapo. nakwambia una shallow analysis. Nakwambia kuwa katika watu wenye shallow analysis ni wewe.Ungekuwa na 5% tu ya IQ yangu nadhani Ukoo wako ( Koo zako ) zote mbili zingekufanyia Sherehe Kubwa na Kujivunia kuwa na Mtu kama Wewe ila bahati mbaya imekuwa ni Kinyume chake na badala yake una Utajiri mkubwa wa ' Upumbavu / Upopoma ' ambao pia nahisi utakuwa umeurithi kwa Wawili waliopoteza muda Wao ' Kukutafuta ' kwa Jasho na Damu Kitandani na wakailetea Tanzania Jitu ' Juha ' lililotukuka kama Wewe.
Huu ni uchambuzi mfu. Lazima mtu awe mjinga aliyebobea kukubaliana na hii ngonjera.Uchaguzi wa ndani wa chama cha Demokrasia na Maendeleo ni jambo linalofuatiliwa kwa ukaribu sana, na makada wa CCM, ndani na nje ya serikali, jambo ambalo wana CHADEMA wamekuwa kama hawaelewei elewi kwa nini hili jambo ni muhimu kwa wana CCM.
Wapo wana CHADEMA wanaodhani kuwa CCM wanafuatilia huu uchaguzi kwa kuwa wanataka Mbowe atoke madarakani, kwa kuwa et Mbowe amefanikiwa sana kukijenga chama kwa miaka 20 aliyokuwa mwenyekiti, bila kuyumbishwa na CCM, hivyo CCM wanataka wapandikize mtu ambae watamcontrol kwa urahisi.
Binafsi, naona hilo si kweli, Kwanza, si kweli kuwa Mbowe ni tishio kwa CCM, Mbowe kama Mbowe hajawai kuwa tishio kihivyo kwa CCM, ni Wazi kuwa mtu kama Dr Slaa, au mtu kama Lissu, japokuwa hawajawhi kushika nafasi za uwenyekiti, ila kwa nafasi zao, walikuwa tishio zaidi kwa CCM kuliko Mbowe.
Hizi ndo sababu nazoziona kwa nini CCM wanafuatilia uchaguzi huu kwa Umakini:-
- Uchaguzi wa CHADEMA, Utaondoa ile dhana ya kuwa CHADEMA ni chama cha kikanda,cha wachagga, cha asasi ya kifamilia:- CCM wamekuwa wakiitumia hili jiwe siku nyingi kuipondea chadema, na kuna utani mahali kuwa, kirefu cha chadema, ni "Chagga Development Manifesto" wana CCM huambiana hivi, na kuhamasishana umuhimu wa kujituma katika ajenda zao za kukizua chama hiki chenye mlengo wa kikanda na kikabila kushika hatamu.
Sasa imefika mahali, endapo uchaguzi wa huru haki utafanyika CHADEMA, na Akatokea mwenyekiti ambae, sio Mkaskazini, sio mchagga, sio mkwe wa Mzee Mtei, Ndesamburo wala sio mtu wa inner cycle ya founders, basi CCM itapoteza kete muhimu sana ambayo imekuwa ikiitumia kuipondea CHADEMA
Ukanda na CHAGALISM imekuwa jiwe la kuipondea CHADEMA, ambalo kwa bahati mbaya limefanya kazi vizuri sana kwa miaka yote hii, kama ambavyo Udini/UISLAAM ulifanya kazi kwa CUF Had kikapotea kabisa. Na namna pekee ya CHADEMA kuepukana na jiwe hili, ilikuwa ni kupitia mwenyekiti anae mrithi Mbowe, ambaye ni mkwe wa muasisi wa Chama.
CCM wanajua hilo, na wanafuatilia kwa umakini sana kuona kama risasi yao ya siku zote itaendelea kutumika au lah!.
- Magufuli for 2030 Ajenda: Kikubwa kingine kinachofanya uchaguzi wa CHADEMA hasa wa mwenyekiti ufuatiliwe kwa ukaribu na wakereketwa wa CCM , na hasa Nisema wakereketwa wa Magufuli, hasa wale wanaotaka mzee baba, atoboe had 2030 ikibidi na zaidi.
Ni kwa sababu, wana aamini kuwa, Wakiwapump CHADEMA, Chadema watajaa kwenye 18 zao, wakati huu wakati CHADEMA wanataka kuhalalisha kuwa na mwenyekiti mmoja kwa miaka 20 na bado wanataka miaka mingine,wakati ambao wanataka kuuthibitishia Umma wa Watanzania na dunia nzima kuwa,
"Akipatikana kiongozi bora, ni heri akae madarakani muda wote, hadi pale atakapopatikana wa kumtosha". Huo ujumbe unaotolewa na CHADEMA, ana wafuasi wa Mbowe, unatoa point nzuri sana kwa wakereketwa wa Rais Magufuli.
Na endapo kweli kama tutaenda kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 na Mbowe angali akiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Basi amini nakuambia, kile kikundi cha watu ndani ya CCM na ndani ya Serikali ambao wanatamani kumuona Rais Magufuli akiongoza hadi achoke, watakuwa wamepata vitu viwili muhimu:
1. Watakuwa wamepata sababu rahsi na mifano ya kuhalalisha ajenda yao
2. Watakuwa wamepata precedence case, ya kutumika kufafanulia ajenda yao.
Wakereketwa wa CCM na Rais Magufuli wanajua kila linalosemwa kipindi hiki na viongozi wa CHADEMA, ni muhimu sana, kwani litatumika hapo usoni kuipush ajenda hii, Nasikitika kuwa, CHADEMA hawajui hilo, na wanadhani wao kubaki na Mwenyekiti Mbowe, ni muhimu sana.
Ni wakati sasa CHADEMA, ijipambanue, ikubali kuwa Mwenyekiti kakitumikia chama kwa muda, na sasa apishe wengine. Ni wakati wa kuonyesha kwa mifano ukuaji wa Demokrasia ndani ya chama chetu, ni wakati wa kuonyesha kwa vitendo kuwa tunapinga utaratibu wa viongozi wa kiafrika kujiongezea muda madarakani
Very stupid. Yours is a honey coated bullet. Keep it to yourself.Uchaguzi wa ndani wa chama cha Demokrasia na Maendeleo ni jambo linalofuatiliwa kwa ukaribu sana, na makada wa CCM, ndani na nje ya serikali, jambo ambalo wana CHADEMA wamekuwa kama hawaelewei elewi kwa nini hili jambo ni muhimu kwa wana CCM.

Maono ya Mungu na 95% wapi na wapi?Ni lini au ni wapi CCM ilitangaza kuwa haimtaki Mbowe agombee au aendelee kuwa Mwenyekiti Taifa CHADEMA? Acheni Uwongo, Majungu na Uswahili. CHADEMA kamwe haimalizwi na CCM bali ukiwa na Akili timamu kabisa utagundua ya kwamba CHADEMA inajimaliza yenyewe na kama kuna Chama cha Upinzani nchini Tanzania ambacho kimetengeza Makundi makubwa ndani ya Chama na kuna ' Moto ' wa chini chini ' unafukuta ' huko ila unafichwa kwa Kivuli cha Kuisema na Kuisakama CCM basi ni CHADEMA.
Na ili Kulithibitisha hilo nakuomba anza sasa Kufuatilia huu Mchakato mzima wa Uchukuaji Fomu ndani ya CHADEMA ndipo utajua kuwa GENTAMYCINE huwa sibahatishi kwa yale niyasemayo. Hivi unadhani kama CHADEMA kungekuwa Shwari Mwenyekiti wake angetengeza Watu wajifanye wanamtaka, wanamkubali hadi Kumchukulia Fomu? CHADEMA kungekuwa Shwari na Mbowe anakubalika Mzee Sumaye angechukua Fomu pamoja na Yule Mbunge wa Mtwara? Na nasikia ( japo bado sijathibitisha ) kwamba muda wowote Mbunge John Heche nae atachukua Fomu.
Hivi unadhani kwa Kiu hiki cha Uongozi ndani ya CHADEMA mfano Mbowe akiendelea tena kuwa Mwenyekiti hawa akina Sumaye, Heche na Yule Mwingine ambao nao pia wana Makundi yao ndani ya CHADEMA watafurahi na hata Kunyamaza kwa Kuridhika? Namalizia kwa Kukutabiria mapema tu kuwa kama Mbowe akipita tena kati ya hawa akina Sumaye, Heche na Yule Mbunge wa Mtwara na hata ' Waandamizi ' wengine ndani ya CHADEMA kwa Hasira watahamia upesi CCM. Nakuomba uitunze hii ' Post ' yangu tafadhali kwani kuna Watu wengine ' tumebarikiwa ' Maono makali na makubwa na Mwenyezi Mungu kiasi kwamba 95% ya yale ambayo huwa tunayasema huja Kujitokeza / Kujidhihiri.
sasa hujaeleweka Una sahihisha au unarudia kosa ? Usisimulie matusi automatically unakuwa umwtukana piaMr/Miss ChizzoDrama ni "kweri"
Uchaguzi wa ndani wa chama cha Demokrasia na Maendeleo ni jambo linalofuatiliwa kwa ukaribu sana, na makada wa CCM, ndani na nje ya serikali, jambo ambalo wana CHADEMA wamekuwa kama hawaelewei elewi kwa nini hili jambo ni muhimu kwa wana CCM.
Wapo wana CHADEMA wanaodhani kuwa CCM wanafuatilia huu uchaguzi kwa kuwa wanataka Mbowe atoke madarakani, kwa kuwa et Mbowe amefanikiwa sana kukijenga chama kwa miaka 20 aliyokuwa mwenyekiti, bila kuyumbishwa na CCM, hivyo CCM wanataka wapandikize mtu ambae watamcontrol kwa urahisi.
Binafsi, naona hilo si kweli, Kwanza, si kweli kuwa Mbowe ni tishio kwa CCM, Mbowe kama Mbowe hajawai kuwa tishio kihivyo kwa CCM, ni Wazi kuwa mtu kama Dr Slaa, au mtu kama Lissu, japokuwa hawajawhi kushika nafasi za uwenyekiti, ila kwa nafasi zao, walikuwa tishio zaidi kwa CCM kuliko Mbowe.
Hizi ndo sababu nazoziona kwa nini CCM wanafuatilia uchaguzi huu kwa Umakini:-
- Uchaguzi wa CHADEMA, Utaondoa ile dhana ya kuwa CHADEMA ni chama cha kikanda,cha wachagga, cha asasi ya kifamilia:- CCM wamekuwa wakiitumia hili jiwe siku nyingi kuipondea chadema, na kuna utani mahali kuwa, kirefu cha chadema, ni "Chagga Development Manifesto" wana CCM huambiana hivi, na kuhamasishana umuhimu wa kujituma katika ajenda zao za kukizua chama hiki chenye mlengo wa kikanda na kikabila kushika hatamu.
Sasa imefika mahali, endapo uchaguzi wa huru haki utafanyika CHADEMA, na Akatokea mwenyekiti ambae, sio Mkaskazini, sio mchagga, sio mkwe wa Mzee Mtei, Ndesamburo wala sio mtu wa inner cycle ya founders, basi CCM itapoteza kete muhimu sana ambayo imekuwa ikiitumia kuipondea CHADEMA
Ukanda na CHAGALISM imekuwa jiwe la kuipondea CHADEMA, ambalo kwa bahati mbaya limefanya kazi vizuri sana kwa miaka yote hii, kama ambavyo Udini/UISLAAM ulifanya kazi kwa CUF Had kikapotea kabisa. Na namna pekee ya CHADEMA kuepukana na jiwe hili, ilikuwa ni kupitia mwenyekiti anae mrithi Mbowe, ambaye ni mkwe wa muasisi wa Chama.
CCM wanajua hilo, na wanafuatilia kwa umakini sana kuona kama risasi yao ya siku zote itaendelea kutumika au lah!.
- Magufuli for 2030 Ajenda: Kikubwa kingine kinachofanya uchaguzi wa CHADEMA hasa wa mwenyekiti ufuatiliwe kwa ukaribu na wakereketwa wa CCM , na hasa Nisema wakereketwa wa Magufuli, hasa wale wanaotaka mzee baba, atoboe had 2030 ikibidi na zaidi.
Ni kwa sababu, wana aamini kuwa, Wakiwapump CHADEMA, Chadema watajaa kwenye 18 zao, wakati huu wakati CHADEMA wanataka kuhalalisha kuwa na mwenyekiti mmoja kwa miaka 20 na bado wanataka miaka mingine,wakati ambao wanataka kuuthibitishia Umma wa Watanzania na dunia nzima kuwa,
"Akipatikana kiongozi bora, ni heri akae madarakani muda wote, hadi pale atakapopatikana wa kumtosha". Huo ujumbe unaotolewa na CHADEMA, ana wafuasi wa Mbowe, unatoa point nzuri sana kwa wakereketwa wa Rais Magufuli.
Na endapo kweli kama tutaenda kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 na Mbowe angali akiwa mwenyekiti wa CHADEMA, Basi amini nakuambia, kile kikundi cha watu ndani ya CCM na ndani ya Serikali ambao wanatamani kumuona Rais Magufuli akiongoza hadi achoke, watakuwa wamepata vitu viwili muhimu:
1. Watakuwa wamepata sababu rahsi na mifano ya kuhalalisha ajenda yao
2. Watakuwa wamepata precedence case, ya kutumika kufafanulia ajenda yao.
Wakereketwa wa CCM na Rais Magufuli wanajua kila linalosemwa kipindi hiki na viongozi wa CHADEMA, ni muhimu sana, kwani litatumika hapo usoni kuipush ajenda hii, Nasikitika kuwa, CHADEMA hawajui hilo, na wanadhani wao kubaki na Mwenyekiti Mbowe, ni muhimu sana.
Ni wakati sasa CHADEMA, ijipambanue, ikubali kuwa Mwenyekiti kakitumikia chama kwa muda, na sasa apishe wengine. Ni wakati wa kuonyesha kwa mifano ukuaji wa Demokrasia ndani ya chama chetu, ni wakati wa kuonyesha kwa vitendo kuwa tunapinga utaratibu wa viongozi wa kiafrika kujiongezea muda madarakani
Kupushi kwa kazi gani tena mkuu, wakati kwa sasa CCM inachofanya ni kuagiza tu kuwa fomu imekosewa au fomu haichukuliwi au fomu hairudishwi. So hoja yako kwasasa haina mashiko.
Na jaribu kuweka wazi wewe ni wa level ipi katika hadhira hii.sasa hujaeleweka Una sahihisha au unarudia kosa ? Usisimulie matusi automatically unakuwa umwtukana pia
Wanahangaika kweli ili wapandikize kibaraka mtumishi wa tiss.
me nasubiria siku MEKO anaenda lumumba Kkuchukua fomu ya kugombea uenyekiti na wakati huohuo JEMBE MEMBE nae atajikongoja kama alivoahidi atachukua mapemaaa asubhiiiHili jambo huwa silielewi kabisa. Kweli Mbowe kama binadamu ana madhaifu yake, lakini inakuwaje ni CCM ndiyo wanataka kuweka ukomo wa uenyekiti wa Mbowe CHADEMA?
Yaani ni kama Wamarekani waseme ni kwa nini wajerumani wanaendelea kumchagua Angela Merkel kuwa Kansela wao. CCM kuhusu Mwenyekiti wa Taifa hakuna mahali kwenye katiba yao pamewekwa ukomo wa muda, bali wanabadilishana kwa kutegemea "Tamaduni" ya chama hicho na wala si kwa uchaguzi kwa kuwa kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho hakuna kugombea nafasi ya mwenyekiti Taifa.
Sasa chama ambacho huwa hakifanyi kabisa uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa, kinakuwaje na nguvu ya kimaadili kuwaambia CHADEMA wabadilishe Mwenyekiti wao Taifa? Kwani kwenye Katiba ya CHADEMA kuna kipengele kinakataza mtu kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa zaidi ya mara moja?