Inakuwaje CHADEMA wanakuwa smart zaidi ya CCM?

Inakuwaje CHADEMA wanakuwa smart zaidi ya CCM?

Mm kanilipia ada chuo na siko chadema jiangalie
Hoja ya kitoto mno....

Wako majambazi wanasomesha watoto yatima mpaka vyuo vikuu....wanatoa sadaka na zaka za "kwenda" huko nyumba za ibada....

Utafute utetezi wa mashiko [emoji1787][emoji1787]
 
Sikujua wewe Tusekelege ni "zwazwa kiasi hicho"...[emoji1787]

Ukiwa bilionea huzitaki bilioni nyingine ?!!!

Basi Bakhresa asingehangaika kila uchao ?!! [emoji1787][emoji1787]

Ni rahisi kuwa Bilionea....ila si rahisi kuendelea kuwa bilionea...

Mbowe ni mjanjamjanja mno....mzee wa kubadili gia angani baada ya ule "mlambisho" [emoji1787][emoji1787]
Humjui Mbowe

Screenshot_2023-09-08-20-57-59-1.png
 
Chadema imewekeza katika siasa mfu za majitaka....[emoji1787]

Ona uongo wa TL....eti Mwiba Holdings imehongwa zaidi ya hekari bilioni 2 huko mkoani Simiyu....sasa hekari bilioni 2 si ukubwa wa mikoa 3?!!! [emoji1787][emoji1787]
Huyo Mwiba akisingiziwa kwanini Asiende Mahakamani ?
 
Kuna Mambo ukiangalia utagundua Chadema ni werevu zaidi ya CCM.

Masikitiko ni kwamba CCM ni chama kikongwe kina wataalamu wa kila aina lakini mipango yao ni ya hovyo sana.

Je wataalamu na wanazuoni hawataki kukiambia ukweli hiki chama. Au wenye chama hawataki kusikiliza ushauri wa wataalamu.

Mfano
.
1. Unawakamata watu kwa kosa la Uchochezi
Baadae unageuza uhaini afu unawaachia kwa dhamana. Crazy.

2. Unamwambia Mwambukusi asitoke nje ya Mbeya bila kibali anakaidi agizo na anaendelea kudunda mtaani kwa sababu maagizo yapo kinyume cha sheria Crazy.

3. Police anamzuia Lissu kufanya Mkutano Ngorongoro. Lissu anapokelewa kwa nderemo na vifijo kwa sababu zuio lipo kinyume na utaratibu. Huyu aliaandika anajisikiaje .Crazy.

4. Ni wataalamu gani wa serikali walisaini.ule mkataba IGA na DPW. maana ni ujinga mtupu umejaa mule. Crazy

Kiufupi mambo ni mengi sana yanayoonesha Chadema pamoja na udogo na uchache wao wana hoja nzito kuzidi genge looote la CCM kama alivyosema waziri mkuu mstaafu Msuya
Ni wataalamu gani wa serikali walisaini.ule mkataba IGA na DPW. maana ni ujinga mtupu umejaa mule. Crazy
20230908_040257.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajicheka kwa ujinga wako ?!!!

Propaganda ni sehemu ya siasa....

Hivi unazijua 10 D's against political opponents?!!!

Wenzako tulifundishwa[emoji1787][emoji1787]

Karibu Lumumba [emoji120]
Nani kapinga kuwepo kwa propaganda? Hata context ndogo hapa umeshindwa elewa 😂!! Nimesema hata namna ya kutengeneza propa G mmefeli!! Uvccm mnatia aibu chama chenu mmeshindwa kukitetea chama kwa msingi wa hoja zenye akili, sishangai mawazir wakuu wastaaf na wanaccm nguli kudai CCM hakuna watengeneza hoja bali CDM wanatengeneza hoja zenye mashiko!! Nyie kiukwel ni janga kwa chama chenu. Mnaweza uchawa 👇👇👇
 
Attachments

  • IMG_20211116_120145.jpg
    IMG_20211116_120145.jpg
    68.5 KB · Views: 1
Kuna Mambo ukiangalia utagundua Chadema ni werevu zaidi ya CCM.

Masikitiko ni kwamba CCM ni chama kikongwe kina wataalamu wa kila aina lakini mipango yao ni ya hovyo sana.

Je wataalamu na wanazuoni hawataki kukiambia ukweli hiki chama. Au wenye chama hawataki kusikiliza ushauri wa wataalamu.

Mfano
.
1. Unawakamata watu kwa kosa la Uchochezi
Baadae unageuza uhaini afu unawaachia kwa dhamana. Crazy.

2. Unamwambia Mwambukusi asitoke nje ya Mbeya bila kibali anakaidi agizo na anaendelea kudunda mtaani kwa sababu maagizo yapo kinyume cha sheria Crazy.

3. Police anamzuia Lissu kufanya Mkutano Ngorongoro. Lissu anapokelewa kwa nderemo na vifijo kwa sababu zuio lipo kinyume na utaratibu. Huyu aliaandika anajisikiaje .Crazy.

4. Ni wataalamu gani wa serikali walisaini.ule mkataba IGA na DPW. maana ni ujinga mtupu umejaa mule. Crazy

Kiufupi mambo ni mengi sana yanayoonesha Chadema pamoja na udogo na uchache wao wana hoja nzito kuzidi genge looote la CCM kama alivyosema waziri mkuu mstaafu Msuya
Ukishakuwa hutegemei mbeleko kuongoza maisha yako binafsi automatically unakuwa smart
 
Police anamzuia Lissu kufanya Mkutano Ngorongoro. Lissu anapokelewa kwa nderemo na vifijo kwa sababu zuio lipo kinyume na utaratibu. Huyu aliaandika anajisikiaje .Crazy.View attachment 2743650

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni wewe umeandika barua ya zuia la kama vile harafu yule ulomzuia akapokelewa kwa namna ile

" Hakika huyu alikuwawana wa Mungu"

Ndivyo utakavyosema kama wale wayahudi waliomchukulia Yesu poa.
 
Back
Top Bottom