Inakuwaje CHADEMA wanakuwa smart zaidi ya CCM?

Mm kanilipia ada chuo na siko chadema jiangalie
Hoja ya kitoto mno....

Wako majambazi wanasomesha watoto yatima mpaka vyuo vikuu....wanatoa sadaka na zaka za "kwenda" huko nyumba za ibada....

Utafute utetezi wa mashiko [emoji1787][emoji1787]
 
Humjui Mbowe

 
Chadema imewekeza katika siasa mfu za majitaka....[emoji1787]

Ona uongo wa TL....eti Mwiba Holdings imehongwa zaidi ya hekari bilioni 2 huko mkoani Simiyu....sasa hekari bilioni 2 si ukubwa wa mikoa 3?!!! [emoji1787][emoji1787]
Huyo Mwiba akisingiziwa kwanini Asiende Mahakamani ?
 
Ni wataalamu gani wa serikali walisaini.ule mkataba IGA na DPW. maana ni ujinga mtupu umejaa mule. Crazy


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajicheka kwa ujinga wako ?!!!

Propaganda ni sehemu ya siasa....

Hivi unazijua 10 D's against political opponents?!!!

Wenzako tulifundishwa[emoji1787][emoji1787]

Karibu Lumumba [emoji120]
Nani kapinga kuwepo kwa propaganda? Hata context ndogo hapa umeshindwa elewa πŸ˜‚!! Nimesema hata namna ya kutengeneza propa G mmefeli!! Uvccm mnatia aibu chama chenu mmeshindwa kukitetea chama kwa msingi wa hoja zenye akili, sishangai mawazir wakuu wastaaf na wanaccm nguli kudai CCM hakuna watengeneza hoja bali CDM wanatengeneza hoja zenye mashiko!! Nyie kiukwel ni janga kwa chama chenu. Mnaweza uchawa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20211116_120145.jpg
    68.5 KB · Views: 1
Ukishakuwa hutegemei mbeleko kuongoza maisha yako binafsi automatically unakuwa smart
 
Police anamzuia Lissu kufanya Mkutano Ngorongoro. Lissu anapokelewa kwa nderemo na vifijo kwa sababu zuio lipo kinyume na utaratibu. Huyu aliaandika anajisikiaje .Crazy.View attachment 2743650

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni wewe umeandika barua ya zuia la kama vile harafu yule ulomzuia akapokelewa kwa namna ile

" Hakika huyu alikuwawana wa Mungu"

Ndivyo utakavyosema kama wale wayahudi waliomchukulia Yesu poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…