Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Najua wengi wenu mtakuja na majibu ya wazungu ni wezi mara mabeberu wanaonea Waafrika.
Ila mnasahau adui na mwizi wenu namba moja ni yule aliyeko pembeni yako na licha ya kukuibia bado anakutoza kodi ya kidogo kilichobakia.
Hata kama wazungu ni wezi wa rasilimali zetu unafikiri ni nani ana ruhusu kuzichukua???
Adui wa Mwafrika ni Mwafrika!!