simbampole
Member
- Jun 12, 2012
- 18
- 13
Habari kubwa ni pale mkuu wa wilaya anapompokea mkuu wa mkoa kwa maandalizi ya ujio wa waziri kuja kukagua madarasa! 😂😂😂Yaani kwa akili zako zilivyo ‘ndogo’ unataka vyombo vya habari na social media viache ku report habari za Makonda eti zika report habari hizo!? Upo serious kweli au unatania tu?