Inakuwaje hadi watu 155 wanafariki Kwa mafuriko, wananchi hatupewi taarifa, hadi Waziri Mkuu atuhabarishe?

Inakuwaje hadi watu 155 wanafariki Kwa mafuriko, wananchi hatupewi taarifa, hadi Waziri Mkuu atuhabarishe?

Yaani kwa akili zako zilivyo ‘ndogo’ unataka vyombo vya habari na social media viache ku report habari za Makonda eti zika report habari hizo!? Upo serious kweli au unatania tu?
Habari kubwa ni pale mkuu wa wilaya anapompokea mkuu wa mkoa kwa maandalizi ya ujio wa waziri kuja kukagua madarasa! 😂😂😂
 
Back
Top Bottom