Kibiriti ngoma
Member
- Feb 9, 2024
- 42
- 80
Habari wadau,
Shule nyingi za sekondari zimefungwa hapa nchini, ila wilaya ya kilwa inaendelea kufundisha wanafunzi kuanzia kidato cha 2 na 4, lakini kwa hili hii wanafunzi na walimu wanatakiwa kufika shuleni, kwa mazingira haya zile siku za masomo zilizowekwa kisheria na wizara zinakuwa zimezidi kiwango, pia wanafunzi wanakosa haki yao ya kupumzika kama wenzao maeneo mengine.
Najua kuna viongozi na watu wenye dhamana himi jukwaani ambao wataliangalia kwa jicho la 3 suala hili. Nawasilisha.