Kibiriti ngoma
Member
- Feb 9, 2024
- 42
- 80
Siyo Lindi tuu, waalimu wanatoza 200 kila siku kila mwanafunzi. Ni mradi maana wanafunzi 600 ni sawa 120000 kila siku na jumamosi ni 1000 sawa na 600000! Sasa kuna mwalimu gani ataacha maokoto aende kukaa nyumbani kisa likizo?Habari wadau, shule nyingi za sekondari zimefungwa hapa nchini, ila wilaya ya kilwa inaendelea kufundisha wanafunzi kuanzia kidato cha 2 na 4, lakini kwa hili hii wanafunzi na walimu wanatakiwa kufika shuleni, kwa mazingira haya zile siku za masomo zilizowekwa kisheria na wizara zinakuwa zimezidi kiwango, pia wanafunzi wanakosa haki yao ya kupumzika kama wenzao maeneo mengine. Najua kuna viongozi na watu wenye dhamana himi jukwaani ambao wataliangalia kwa jicho la 3 suala hili. Nawasilisha.
Wewe mwalimu acha ujinga, hizo remedial fees ndo unatoka povu hivi? Siku za kawaida mnafanya nini au wanafunzi hawaelewi hadi mchukue hizo 200?Wazazi kama wew hamtakiwi kuwa na watoto simply,
Huko kilwa ufaulu upo down, watu wanajituma kurudisha ufaulu juu mnaanza maneno ya kipuuzi