Nakumbuka kipindi kile aisee!Hizo ni lugha zao mkuu, ukisema uchukue maneno ya mataifa ya nje uyalete kwenye kiswahili utagombana na watu.
Mfano huyo Tekno kuna wimbo wake ameimba 'Panya'.
huko kwao neno Panya lina maana ya Binti au Mwanamke mrembo, lakini hapa kwetu Panya ni kiumbe msumbufu katika nafaka.
kipindi gani mkuu?Nakumbuka kipindi kile aisee!
Mkuu hapo ndipo unapata majibu kwamba Lugha ya Kiswahili ni Mkusanyiko wa Maneno ya Lugha za Kibantu na maneno yaliyotoka kwenye Lugha za Kigeni kama Kiarabu, Kireno, Kiingereza nk.Habari wanajamvi hope mu wazima wa afya,l tupo kwenye majonzi ya msiba mzito kwa taifa na watanzania kwa ujumla,hakika kila nafsi itaonja mauti
Hatuna budi kusahau Ili maisha yaendelee
Nijikite kwenye mada, katika pita pita zangu huko Youtube nimekutana na wimbo wa msanii Tekno unaitwa KATA,je hili neno kata limekaaje.
Maana wimbo unaonekana ni english version,hii imekaaje?
Pia Mr flavour nae ana wimbo unaitwa NNE KATA,je ni lugha yao au wanachomekea maneno ya kiswahili.
Uzi tayari
Ha ha ha umenchekeshaHizo ni lugha zao mkuu, ukisema uchukue maneno ya mataifa ya nje uyalete kwenye kiswahili utagombana na watu.
Mfano huyo Tekno kuna wimbo wake ameimba 'Panya'.
huko kwao neno Panya lina maana ya Binti au Mwanamke mrembo, lakini hapa kwetu Panya ni kiumbe msumbufu katika nafaka.
Tekno aliimba wimbo unaitwa panya
Nkabaki na maswali
ndo maana kwenye wash,akaimba,“do you like zanzibar?or tolonto.monica lover loverTekno wanasema asili yake ni Zanzibar inaweza kuwa anafahamu baadhi ya misamiati
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
HakikaHizo na nahau tu. Siyo kwamba ni methali
Hizo ni lugha zao mkuu, ukisema uchukue maneno ya mataifa ya nje uyalete kwenye kiswahili utagombana na watu.
Mfano huyo Tekno kuna wimbo wake ameimba 'Panya'.
huko kwao neno Panya lina maana ya Binti au Mwanamke mrembo, lakini hapa kwetu Panya ni kiumbe msumbufu katika nafaka.
Nimecheka sanaHata Rihanna aliimba Kwaakwaakwaakwaa, sasa sijui alimaanisha kunguru wa Zanzibar kwa kiinglish!