Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,314
- 5,150
Habari wanajamvi hope mu wazima wa afya,l tupo kwenye majonzi ya msiba mzito kwa taifa na watanzania kwa ujumla,hakika kila nafsi itaonja mauti
Hatuna budi kusahau Ili maisha yaendelee
Nijikite kwenye mada, katika pita pita zangu huko Youtube nimekutana na wimbo wa msanii Tekno unaitwa KATA,je hili neno kata limekaaje.
Maana wimbo unaonekana ni english version,hii imekaaje?
Pia Mr flavour nae ana wimbo unaitwa NNE KATA, je ni lugha yao au wanachomekea maneno ya kiswahili.
Uzi tayari