Hehe...hiyo ndio
Tanzania..wanakuja waganda wanasa ktk vyuo vyetu materials yetu
wanayelewa vyema na kuyageuzwa kuwa practical....walimu wao km kawa
wanabaki wakijisifu ktk mabaa kuwa engine wamefunshwa kwetu wa hiyo
hawatuwezi.
Hiyo ni katika IT ,kilasector ukiingia kuna masihara km haya.NIlihswahi
sema huku fikra za kipwani ni dhaifu sana kuongoza nchi.Ikafutwa ile
thread na ban juu.Its time waachie wenye uwezo waongoze, nchi imejaa
tamaduni na spirits za watu tofauti, tungekuwa na akili tungechagua
siafa njema za watu wa sehemu mbali mbali ktk nchi zipewe nguvu
kitaifa.
Kwa taarifa yako hata jeshi la marekani linatumia gmail, hakuna cha ajabu hapo kwa unclassified informationNilishangaa wiki chache zilizopita msemaji wa jeshi kwenye taarifa yake kwa vyombo vya habari kuna email ID yenye yahoo.co.uk. Hivi kweli jeshi wanashindwa kuwa na dedicated wail server ya kwao???? Je, hawana wataalamu wa ICT????......................very sad
Real sad yaani wao ndio wanatakiwa wawe watu wa kwanza kitechnologia yaani jeshini hua ndio mwanzo wa kila security
Kwa taarifa yako hata jeshi la marekani linatumia gmail, hakuna cha ajabu hapo kwa unclassified information
ukisoma haisaidi sababu nafasi wanapeanaDah! ngoja nikazane kusoma Kozi yangu ya IT!
Anza kufuatilia muundo wa security ya nchi kwa ujumla na system nzima ya uongoz wa taifa.....Nilishangaa wiki chache zilizopita msemaji wa jeshi kwenye taarifa yake kwa vyombo vya habari kuna email ID yenye yahoo.co.uk. Hivi kweli jeshi wanashindwa kuwa na dedicated wail server ya kwao???? Je, hawana wataalamu wa ICT????......................very sad