Inakuwaje JWTZ wanatumia yahoo email?

Inakuwaje JWTZ wanatumia yahoo email?

Hehe...hiyo ndio Tanzania..wanakuja waganda wanasa ktk vyuo vyetu materials yetu wanayelewa vyema na kuyageuzwa kuwa practical....walimu wao km kawa wanabaki wakijisifu ktk mabaa kuwa engine wamefunshwa kwetu wa hiyo hawatuwezi.

Hiyo ni katika IT ,kilasector ukiingia kuna masihara km haya.NIlihswahi sema huku fikra za kipwani ni dhaifu sana kuongoza nchi.Ikafutwa ile thread na ban juu.Its time waachie wenye uwezo waongoze, nchi imejaa tamaduni na spirits za watu tofauti, tungekuwa na akili tungechagua siafa njema za watu wa sehemu mbali mbali ktk nchi zipewe nguvu kitaifa.
 
Hehe...hiyo ndio
Tanzania..wanakuja waganda wanasa ktk vyuo vyetu materials yetu
wanayelewa vyema na kuyageuzwa kuwa practical....walimu wao km kawa
wanabaki wakijisifu ktk mabaa kuwa engine wamefunshwa kwetu wa hiyo
hawatuwezi.

Hiyo ni katika IT ,kilasector ukiingia kuna masihara km haya.NIlihswahi
sema huku fikra za kipwani ni dhaifu sana kuongoza nchi.Ikafutwa ile
thread na ban juu.Its time waachie wenye uwezo waongoze, nchi imejaa
tamaduni na spirits za watu tofauti, tungekuwa na akili tungechagua
siafa njema za watu wa sehemu mbali mbali ktk nchi zipewe nguvu
kitaifa.

Acha upotoshaji! Wewe ndie unaeonekana kuwa dhaifu kwa kutukuza ukabila badala ya kuwa na mtazamo wa kimaendeleo! Hata kama angeongoza mtu wa kutoka Mbinguni, bado usingeridhika kwa vile hakutokana na Kabila/kundi ama watu unaodhani ndio wenye kustahili kuongoza. Nchi hii haitaendelea endapo itaendelea kuwa na watu wenye mtazamo finyu kama wa kwako.
 
Unashangaa hilo?? Maofisa wetu wakienda kwenye trainings nje hupewaga laptops km moja ya vifaa vya mafunzo na hizi huletwa km mali za jeshi na humo wanatunza data zooote za ulinzi na intelijensia kuanzia vikao mipango uratibu mpka utekelezaji ambavyo ni siri kubwa sasa ikiwa ile laptop ina wire bug or any spy recording device (kitu ambacho its possible) bas kule nje wanatuchora tu vzuriii... Tunahitaji mapinduz makubwa sana kuanzia kweny sheria zetu, viongozi na muundo wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na watendaji wake bila kusahau viongozi wakuu wa nchi.
 
Ikulu nao wanatumia Yahoo kwa hiyo ngoma Droo....
 
Nilishangaa wiki chache zilizopita msemaji wa jeshi kwenye taarifa yake kwa vyombo vya habari kuna email ID yenye yahoo.co.uk. Hivi kweli jeshi wanashindwa kuwa na dedicated wail server ya kwao???? Je, hawana wataalamu wa ICT????......................very sad
Kwa taarifa yako hata jeshi la marekani linatumia gmail, hakuna cha ajabu hapo kwa unclassified information
 
Wakwanza kwenye ICT? STD VII wakwanza ICT sijawahi ona
Real sad yaani wao ndio wanatakiwa wawe watu wa kwanza kitechnologia yaani jeshini hua ndio mwanzo wa kila security
 
Kifupi serikali na baadhi watendaji wake ni waoga,uwezo ktk kazi ni mdogo yaani mtu anawekwa ktk ofisi harafu ajui nn anakwenda kufanya.Pia yapo madudu mengi sana ktk vikosi vyetu vya ulinzi na usalama.
1. Kumwogopa kiongozi wakati anatoa maneno pumba.
2. Hao wanao ajiriwa ktk vikosi na kupitia mafunzo ya officers na ngazi nyngne uwa uwapelekwi kwny taharuma zao kama walivyojieleza awali.
3. Pia system ya mawasiliano kama wadau wa JM mlivyoeleza hayo ni kuwacha wenyewe. Kwani awao walio ajiriwa ktk majeshi inawezekana ni vimeo tupu.
 
Mi wala sisemii. maana naitafuta deal ya kuautomate email za zao
 
Asanteni kwa matusi yenu ila ni vizuri muwe mnauliza kabla ya kuanza kuropoka na kutema pumba zenu
 
Nilishangaa wiki chache zilizopita msemaji wa jeshi kwenye taarifa yake kwa vyombo vya habari kuna email ID yenye yahoo.co.uk. Hivi kweli jeshi wanashindwa kuwa na dedicated wail server ya kwao???? Je, hawana wataalamu wa ICT????......................very sad
Anza kufuatilia muundo wa security ya nchi kwa ujumla na system nzima ya uongoz wa taifa.....

Umeona email tu ndo issue...
Vipi kuhusu mifumo.. uendeshaji... mikataba... na mengineyo meengi katika ofisi... unajua yanakotoka.

Kama huwezi kutengeneza vya kwako basii fuata maelekezo ya unavyotengenezewa...... hauwez kua na security kuzuia nchi km uingereza kukudukua....

Unajua network na ip adress zinatoka wap.... server za search engines unajua ziliko....

Vitu vingine sio vya kuhangaika navyo.... bado tunaishi kwa msaada wa waliondelea... tutatumia saana vya kwao...

Unampa almasi afu unamnyima email....
Una akili wewe:
 
Back
Top Bottom