5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,275
- 2,410
Wakuu habari za muda,
Nimeshangazwa sana kuona sasa kamanda mkuu wa majeshi ya Urusi sasa anapokea amri kutoka kwa kamanda wa kikundi kidogo cha Wagner Group amacho sio jeshi rasmi ni kikundi maalum cha kukodi baada ya makamanda wengi wa Urusi kufeli na kuuliwa kwenye makabiliano ya vita kule Ukrean.
Hii itakuwa imekaaje na vita ndio kwanza tunaambiwa ni mbichi mizigo inaendelea kutumwa Ukraine toka Ujerumani na Marekani.
Taifa kubwa kama la Urusi ambalo tuliambiwa ni kubwa zaidi ukitoa lile Marekani kijeshi ulimwenguni sasa makamanda wao wanapokea amri toka Wagner Group. Ni habari za kusikitisha sana, Majeshi na makanda wa Urusi wenye weledi leo wako wapi?