Mind you we are not for war. It it's just a military operation 😁Basi shida ni uelewa.
Aliyestaafu unaweza kumpeleka apate mafunzo ya technolojia ya kisasa?
kama walistaafu kabla ya technolojia ya ndege zisizo na rubani wana uwezogani wa kuzikabili?
Ningekuwa mimi kwa kutumia akili ya kawaida.
Wastaafu ningewaita jeshi la akiba,
Na ukikuta jeshi la akiba ndilo linashika usukani,basi ujue maji yapo shingoni.
Na kama ndivyo basi putin ateue mmoja wao awe mkuu wa majeshi.