Baba Genovivah
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 756
- 249
Jamani mbona hata sielewi hapa inakuwaje mtu kaomba transfer lakini bado jina lipo chuo kile kile cha mwanzo mbaya zaidi na mkopo wake umepelekwa huko huko..hivi hapa kunakupona kweli au ndo ishatoka?????

kumbuka leo ndio deadline ya tranfer...!
Ni kawaida mkopo kwenda ktk chuo ulichopangiwa.
Ukipata tranfer, TCU watapeleka jina lako HESLB. Baada ya mda kidogo HESLB watahamisha mkopo wako.
Ukiona manyoya.....??
kumbuka leo ndio deadline ya tranfer...!
Ni kawaida mkopo kwenda ktk chuo ulichopangiwa.
Ukipata tranfer, TCU watapeleka jina lako HESLB. Baada ya mda kidogo HESLB watahamisha mkopo wako.
kidogo maelezo yanatia moyo..thumb up mkuu..!
Jamani mbona hata sielewi hapa inakuwaje mtu kaomba transfer lakini bado jina lipo chuo kile kile cha mwanzo mbaya zaidi na mkopo wake umepelekwa huko huko..hivi hapa kunakupona kweli au ndo ishatoka?????
Mkuu sasa kama ulikuwa kwny kozi ambayo ni non priority na baada ya transfer ukawa selected kwenye kozi ambayo ni priority .je kuna uwezekano wa mkopo wako kuongezeka au unabaki vilevile?
mkopo hupungua au kuongezeka kutegemeana na kozi uliyohamia.
kuna jamaa alikua hana 100% chuo flani, alipohamia education kwenye chuo kingine, akapata 100%[/QUOT]
Mia mkuu. Ila nasikia inaweza chukua muda mrefu hadi uhamishwe

na je kama mtu umeandika barua kubadilishiwa course ndani ya chuo na pia umetuma transfer form tcu ya kubadili chuo hapo inakuwaje ? inakubalika kweli kufanya hivyo?
Sawasawa mkuu.na vipi utapoanza kuingia kwenye chuo chako kipya watacompansate ile pesa uliyoitumia mwanzo kabla ya mkopo?kuhusu muda, ukweli yataka moyo!
kama utaratibu haujabadilika, ukweli muhusika anapaswa kujipanga
Jamani mbona hata sielewi hapa inakuwaje mtu kaomba transfer lakini bado jina lipo chuo kile kile cha mwanzo mbaya zaidi na mkopo wake umepelekwa huko huko..hivi hapa kunakupona kweli au ndo ishatoka?????
jaman kati ya tuliomba transfer kama knaambaye ashapata ka SMS kakjulishwa kuwa amefanikiwa kutransfer atjuze basi ili tusikae tunasbir kmbe mambo yashaisha