Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

Baba Genovivah

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
756
Reaction score
249
Jamani mbona hata sielewi hapa inakuwaje mtu kaomba transfer lakini bado jina lipo chuo kile kile cha mwanzo mbaya zaidi na mkopo wake umepelekwa huko huko..hivi hapa kunakupona kweli au ndo ishatoka?????
 
Ndugh yangu hapa wengine tumechanganyikiwa yaani sijui hata lini watatoa hzo selection zetu
 
Jamani mbona hata sielewi hapa inakuwaje mtu kaomba transfer lakini bado jina lipo chuo kile kile cha mwanzo mbaya zaidi na mkopo wake umepelekwa huko huko..hivi hapa kunakupona kweli au ndo ishatoka?????

kumbuka leo ndio deadline ya tranfer...!
Ni kawaida mkopo kwenda ktk chuo ulichopangiwa.
Ukipata tranfer, TCU watapeleka jina lako HESLB. Baada ya mda kidogo HESLB watahamisha mkopo wako.
 
kidogo maelezo yanatia moyo..thumb up mkuu..!
 
kumbuka leo ndio deadline ya tranfer...!
Ni kawaida mkopo kwenda ktk chuo ulichopangiwa.
Ukipata tranfer, TCU watapeleka jina lako HESLB. Baada ya mda kidogo HESLB watahamisha mkopo wako.

Mkuu sasa kama ulikuwa kwny kozi ambayo ni non priority na baada ya transfer ukawa selected kwenye kozi ambayo ni priority .je kuna uwezekano wa mkopo wako kuongezeka au unabaki vilevile?
 
Jamani mbona hata sielewi hapa inakuwaje mtu kaomba transfer lakini bado jina lipo chuo kile kile cha mwanzo mbaya zaidi na mkopo wake umepelekwa huko huko..hivi hapa kunakupona kweli au ndo ishatoka?????

Leo website ilikuwa haifungukiii lakini tusubiri kesho itakuwaje
 
Mkuu sasa kama ulikuwa kwny kozi ambayo ni non priority na baada ya transfer ukawa selected kwenye kozi ambayo ni priority .je kuna uwezekano wa mkopo wako kuongezeka au unabaki vilevile?

mkopo hupungua au kuongezeka kutegemeana na kozi uliyohamia.
kuna jamaa alikua hana 100% chuo flani, alipohamia education kwenye chuo kingine, akapata 100%
 
Mmh mwaka huu majanga tu, mana iyo transfer ya mkopo inaweza kuchukua kipindi cha mwaka mzima
 
mkopo hupungua au kuongezeka kutegemeana na kozi uliyohamia.
kuna jamaa alikua hana 100% chuo flani, alipohamia education kwenye chuo kingine, akapata 100%[/QUOT]

Mia mkuu. Ila nasikia inaweza chukua muda mrefu hadi uhamishwe
 
na je kama mtu umeandika barua kubadilishiwa course ndani ya chuo na pia umetuma transfer form tcu ya kubadili chuo hapo inakuwaje ? inakubalika kweli kufanya hivyo?
 
hapo umekula ugali, samaki na dagaa. sio mbaya, ila ungeziacha dagaa, ukazitumia kama mboga ya kesho!
kwakua tranfer kupitia tcu, ndio itayokua mwanzo, basi kama utafanikiwa kupata tranfer kupitia tcu, utalazimika kwenda huko ulikopangiwa.
kama tranfer kupitia tcu ikifeli na ukafanikiwa kupata tranfer ndani ya chuo, basi utaendelea kubaki chuo ktk kozi mpya!
 
kuhusu muda, ukweli yataka moyo!
kama utaratibu haujabadilika, ukweli muhusika anapaswa kujipanga
Sawasawa mkuu.na vipi utapoanza kuingia kwenye chuo chako kipya watacompansate ile pesa uliyoitumia mwanzo kabla ya mkopo?
 
Jamani mbona hata sielewi hapa inakuwaje mtu kaomba transfer lakini bado jina lipo chuo kile kile cha mwanzo mbaya zaidi na mkopo wake umepelekwa huko huko..hivi hapa kunakupona kweli au ndo ishatoka?????

jaman kati ya tuliomba transfer kama knaambaye ashapata ka SMS kakjulishwa kuwa amefanikiwa kutransfer atjuze basi ili tusikae tunasbir kmbe mambo yashaisha
 
Nikweli kabisa, unaweza kukaa unasubiri kumbe mambo yashaisha!
 
Wa diploma transfer deadline mpk tarehe 20 na kutransfer n bure.
 
Back
Top Bottom