Wakuu
mimi nataka kufanya transfer kutoka udom kwenda NIT je kwa sasa nimechelewa
Pia kwa anaejua kuhusu private candidate mana nimeskia ukiomba kama private candidate unapata chuo chochote haijalishi.
Mwenye uelewa kidogo anifahamishe tafadhari
Sijapata msaada ndugu zangu.
Lyk umechelewa mkuu so cjui lakini nenda NIT check kama nafasi zipo waki kwambia zipo watakupa barua utaipeleka tcu pale tcu watakwambia ukalipie 30 thou ukilipia basi watakamilisha uhamisho wako
Jaman msikae mkasubiri.muambiwe huku jf. Una nguvu na uko mjini nenda ofisi za TCU direct. Ohooo mtu anapatajibu leo ww utajulishwa kesho kutwa too late.
Hv mkuu unafikiri ofisi za tcu zipo kila mkoa? No way out lazima watu waulize hapa so hata ww unahusika katika msaada wako..!! Fanya kitu mkuu
jaman hiz transfer inakuaje mbna tmewekwa njiapanda!!!!!! kfanya registration sehem ulopangiwa mwanzo mtu unaogopa usije ukapoteza hela then ukaja ukaambiwa umehamishwa hela ikawa imeliwa... hapa nipo njiapanda kabsaaaaaa''''''' kwa walioko dar tsaidien mfike kwny ofsi zao msikie wnasemaje
Mzigo ukitema tutakimbiana humu
Hamna kukimbiana..! Tutaftane mkuu na taarifa tupeane kiroho safi kabisaa
Hakuna shaka ila nilimaanisha hamu ya transfer inatuzidia na kutupa stress sanaaaa...Tuko pa1
transfer ilikuwa kwa kozi ileile ya mwanzo tu mfano kama ni BBA UMEPANGIWA udom NA unataka kwenda labda Tumaini Iringa ni hivo ila sio Education kwenda BBA au BBA kwenda Education,, maelezo walishatoa kwamba "the same course" na course nyingine hapo ni lazima ufanye ukiwa umeshafika chuoni na iwe wiki 3 baada ya chuo kufungua Muwe mnasoma izuri maelezo nashauri hivyo,, usisome nusunusu.. kama ulifanya Transfer ya kozi moja kwenda nyingne usipoteze muda wewe manayake ulikosea maelekezo
Ila kwa watu waliomba transfer kupitia nacte wamesema tareh 20 zitakuwa tayar kwenye profile yako