Haya mambo yanajadirika!Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?
Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.
Maendeleo hayana vyama!
Haya mambo yanajadirika!Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?
Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.
Maendeleo hayana vyama!
Akiacha kumeza haloperidol kila analoongea ni utumbo ( pumba )Huyu mtu ni mgonjwa. Acheni ubishi. Mpeni matibabu stahiki tena toka kwa huyo daktari aliyemnanga kabla hali haijawa mbaya zaidi.
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?
Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.
Maendeleo hayana vyama!
Ukifia TUMBONI AU USIPOHUDUMIWA BAADA YA KUZALIWA UKAFA, JE, UTAKUWA MWAKIMU?Mwalimu ni muhimu kuliko daktari. Bila mwalimu haupati daktari lakini bila daktari walimu wanakuwepo.
Amandla....
........Pia mbinafsi mwandamizi.Huyu mtu ni mgonjwa. Acheni ubishi. Mpeni matibabu stahiki tena toka kwa huyo daktari aliyemnanga kabla hali haijawa mbaya zaidi.
Kuna walimu na waelekezajiMtu yoyote anaweza kuwa mwalimu lakini siyo kila mtu anaweza kuwa daktari bwashee.
Utabibu ni wito tena ni ibada!
Kwamba daktari yeye hatakiwi kuwa na maisha bora na mshahara mzuri? Acha tabia za kichawi.......mbona waalimu wa science ni wachache na mmoja wa chemistry kakimbia chaki?Waalimu wote ni wanasiasa bwashee!
Ila daktari ana umaalumu wa kipekee popote pale duniani.
Kutibu ni ibada!
Unalinda kwa sera au kwa kuboresha maslahi na job security?Alichoongea Magufuli itoshe kutufungua akili kwamba anataka sera inayoweza kuisaidia serikali kumiliki Nguvu kazi kulingana na uwekezaji iliyoifanya.
Katika mazingira haya kuzuia watu uliowakopesha kusoma wasiondoke kwenye taasisi za umma ni sawa na kuwafanya watumwa wa mikopo kitu ambacho ni kinyume Cha sheria.
Ninamuunga mkono raisi kwamba anatamani kina Gwajima wanakuja na sheria ya haraka Sana kubrand na kulinda ajira za serikali
Mtu yoyote anaweza kuwa mwalimu?Mtu yoyote anaweza kuwa mwalimu lakini siyo kila mtu anaweza kuwa daktari bwashee.
Utabibu ni wito tena ni ibada!
Kwani wamesomeshwa bure au wanalipa hiyo pesa?Alaf. Vitu vingine muwe mnajiuliz wkuu sio ushabiki tuu kuna tofaut ya kuacha kazi na kuhamia taasisi nyingine katika kitengo kile.kile kuacha udaktari na kuwa mwasias ni tofaut na kukimbia serikalin na kwenda binafsi lakin ukiwa katika wazifa ule ule unajuua analalamika yuko sahih katik watu ambao elim ya juu inawathamin ni pamoja na madaktar sasa inapotokea hvy lazima uumiee yaan ada kalipiwa lakin kaenda sehem nyingine kufanya kazi unadhan wote wananchi wana wez kufikia hiyo hadh ya kwenda kutibiwa katik hospital hiyo au ni baadhi ya wananchi walio na kipato cha juu tuu .Ndio Maan lazima atafutwe kwan kma akiwa serikalin hata wale wachin wangewez kupata msaad wake
Huo ndio ukweli ila nashangaa hata wale walionekana kuwa na akili wanakimbia macho huku taifa likizidi kuangamiaHuyu mtu ni mgonjwa. Acheni ubishi. Mpeni matibabu stahiki tena toka kwa huyo daktari aliyemnanga kabla hali haijawa mbaya zaidi.
swali hiyo miaka mitano hatimaza?Yuko sahihi kabisa.
Sisi tulipomaliza chuo ilikuwa ni lazima kuitumikia serikali kwa miaka 5 kabla hujaenda sekta binafsi au haujajiajiri!
Basi bibi na babu zetu walikuwa wanaishi kama wanyama porini maana walikuwa wanazaa na kujihudumia bila madaktari. Na bado kuna watanzania wengi tu wanao zaa na kujihudumia bila daktari.Ukifia TUMBONI AU USIPOHUDUMIWA BAADA YA KUZALIWA UKAFA, JE, UTAKUWA MWAKIMU?
Ni Wanyama porini tu wanaoweza kuzaa na kujihudumia, bike hawaongei tu lakini wanataabu.
MNATAKA TUISHI KAMA WANYAMA PORINI?
Hivi katika watu wenye akili na Tundu Lissu yumo kweli, yaani mtu mwenye akili akubali kwenda kuolewa ubeligiji?? Hahahaha vijana wa bavicha balaaa tupu.Bwashee kuna siku nyingine unakuwa na akili nyingi kama Tundu Lissu vile, halafu kuna siku ukiamka vibaya, huwa unakuwa kama Goodluck Mlinga!!
Hongera kwa hoja yako! Hakika maendelwo hayana chama. Leo kidogo nimekuelewa.
Angekua hana akili, Mwenyekiti wako angemuahidi cheo kizuri kipindi kile cha kampeni baada tu ya kuona mwamba anamsababishia pumzi yake kukata mara kwa mara?Hivi katika watu wenye akili na Tundu Lissu yumo kweli, yaani mtu mwenye akili akubali kwenda kuolewa ubeligiji?? Hahahaha vijana wa bavicha balaaa tupu.
Nahisi vijana Bavicha kwa kiwango kikubwa mlidumaa mlivyokuwa chini ya miaka 5Angekua hana akili, Mwenyekiti wako angemuahidi cheo kizuri kipindi kile cha kampeni baada tu ya kuona mwamba anamsababishia pumzi yake kukata mara kwa mara?
By the way, mlitaka abakie nchini ili muendelee kumfanyia zile hila zenu? Yule ni akili kubwa! Baada ya kuwagundua, akawazidi akili kama kawaida yake. Na mashabiki wake tunamuelewa sana.
Usisahau pia Mh. Tundu Lissu ni baba wa familia! Na mke wake anaishi naye huko huko Ubelgiji anakopata matibabu yake yaliyotokana na lile jaribio lenu lililoshindwa la kutaka kumuua mchana kweupe.