Hii ni mbaya kwa viwango vingi sana. rais anayemaliza muda kama mgombea anaomba kuchaguliwa, hajui kama atashinda au la, wakati huo huo anatishia kuadhibu watu wasipochagua watu wake.Hii ni zamu yetu wananchi kuamua nani tumchague na nani tusimchague kwenda kutuwakilisha .
Maajabu sasa huyu Rais anayemaliza muda wake amesikika akiongea kwa jazba kuwaamrisha wananchi nani wamchague. Hii si sawa maana legitimacy ya uongozi ni baada ya approval ya wenye nchi.
Kaharibu sana kwa maneno yale. Naamini kuwa jiwe hawezi siasa na ndiomana alikuwa radhi kutumia trilions of money kuua upinzani ili ajimilikishe nchi. Kadri mida unavyozidi kwenda nia yake ovu inazidi kujipambanua.[SUP]Kwanza alisema kazi ni ngumu, pili anatufokea wapiga kura, tatu anataka kuongoza Hadi akili zetu na fikra zetu, nne anatupangia tuchague nani, tano hatufai, sita akajiajiri, saba [/SUP][SUP]tunataka mtu mwingine atakaefanya kazi nasio kulala na mafile kitandani.[/SUP]
Yaani naimani hata wanaccm wenyewe watakuwa hawajafirahishwa na yale maneno, anawaweka katika wakati mgumu wanachama wake
Kama sio mwanasiasa anafanya nini kwenye siasa? Si arudi University of Dar akafundishe scienceMagufuli si mwanasiasa, ye ni mwanascience, na ndo maana akiahidi anatekereza, mambo kama hayo ni kawaida kwa raisi anaejiamini na haperekeshwi
Pia alisema anatamani kuwa IGP.Kwanza alisema kazi ni ngumu, pili anatufokea wapiga kura, tatu anataka kuongoza Hadi akili zetu na fikra zetu, nne anatupangia tuchague nani, tano hatufai, sita akajiajiri, saba tunataka mtu mwingine atakaefanya kazi nasio kulala na mafile kitandani.