Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Una uhakika hizo akili kama zipo?Yani hii kauli ya huyu mzee ilinikera sana. Sijui huwa akili zake anazihamishiaga wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika hizo akili kama zipo?Yani hii kauli ya huyu mzee ilinikera sana. Sijui huwa akili zake anazihamishiaga wapi?
Science unaijua wewe, huyo na wengine kama yeye wamesoma historia ya Science sio scienceJe kama ana PHD ya science
Kwanza alisema kazi ni ngumu, pili anatufokea wapiga kura, tatu anataka kuongoza Hadi akili zetu na fikra zetu, nne anatupangia tuchague nani, tano hatufai, sita akajiajiri, saba tunataka mtu mwingine atakaefanya kazi nasio kulala na mafile kitandani.
W una nini?Science unaijua wewe, huyo na wengine kama yeye wamesoma historia ya Science sio science
Tumsifu Yesu KristuW una nini?
Unabisha nini wakati anatamka wazi, anatumia porojo ya maendeleo kama silaha ya kuchagiza watu wampe kura.Sijaona watu walipolazimishwa, nilichokiona ni anafanya kampeni wagombea wa chama chake wapigiwe kura.
Ni ujinga kufikiri unalazimishwa, kura ni siri yako.