Hana uwezo wa kumpangia mtu yeyote nani wa kumpigia kura.
Yeye pia anaomba kura, licha ya yeye kuzunguka kuomba kura akiwa rais na kutumia rasilimalu za taifa kwa manufaa yake na chama chake, lakini bado hana mamlaka ya kura yoyote isipokuwa yake mwenyewe.
Hayo ni maneno ya kampeni tu, hasingeweza kusema msimpigie kura mgombea wa chama chake, hivyo fanya maamuzi sahihi na kura yako.
Mpigie unayedhani atatekeleza yale uyapendayo.