Mkuu na hayo madaraka ya kikatiba hajayatumia hata robo. Nakwambia akija anayejua kuyatumia tutalia nakusaga meno.Hawezi siasa, kisha katiba inatoa madaraka makubwa sana kwa rais kiasi kwamba anaweza kuyatumia vibaya atakavyo. Hii ndio maana ninasema, chini ya Magufuli hakuna uchaguzi, bali ni maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Mhhh tutakna kama 28 October nani ataapishwa. Baada ya hapoIla huyu mzee kapagawa Sana..Yeye ameshasahau kijasho kinamtoka 'kuokoteza' kura katika majimbo mbalimbali ya Tanzania halafu analazimisha watu wampigie kura wasiempenda!
Mzee 'sonona' itamchakaza asipokuwa makini.
Ni mwanascience alieingia kwenye siasa, hana kukupa moyo wala matumaini, anakwambia ukweli halisiKama sio mwanasiasa anafanya nini kwenye siasa? Si arudi University of Dar akafundishe science
Sijaona watu walipolazimishwa, nilichokiona ni anafanya kampeni wagombea wa chama chake wapigiwe kura.Hakuna mwenye mamlaka ya kupangia watu wapigeje kura na ndio maana hata yeye anatembea kuomba kura, isingekuwa hivyo angekaa tu Chato akiangalia uwanja wake wa ndege akisubiri kuapishwa.
Kuongea ukweli wa moyoni mwake hakuna maana kuwa anaongea mambo yenye tija. Anachofanya hapo ni kosa kubwa kwa kiongozi, yeye sio mwanasayansi wa kwanza kuingia kwenye siasa, huyu ana matatizo yake tu.Ni mwanascience alieingia kwenye siasa, hana kukupa moyo wala matumaini, anakwambia ukweli halisi
Mwanasayansi? Du nimecheka kama mazuri haya endeleeni kudhalilisha taaluma.Kuongea ukweli wa moyoni mwake hakuna maana kuwa anaongea mambo yenye tija. Anachofanya hapo ni kosa kubwa kwa kiongozi, yeye sio mwanasayansi wa kwanza kuingia kwenye siasa, huyu ana matatizo yake tu
Kupenda kubaya chongo utaita makengeza haya hakuna sehemu kalazimisha aletewe diwani.Sijaona watu walipolazimishwa, nilichokiona ni anafanya kampeni wagombea wa chama chake wapigiwe kura.
Ni ujinga kufikiri unalazimishwa, kura ni siri yako.
Ni mwanascience alieingia kwenye siasa, hana kukupa moyo wala matumaini, anakwambia ukweli halisi
Je kama ana PHD ya scienceMatumizi ya hovyo ya neno Mwanasayansi!
Pombe lazima tuimwage kwa nguvu zetu zoteKwanza alisema kazi ni ngumu,
pili anatufokea wapiga kura,
tatu anataka kuongoza Hadi akili zetu na fikra zetu,
nne anatupangia tuchague nani,
tano hatufai,
sita akajiajiri,
Saba tunataka mtu mwingine atakaefanya kazi nasio kulala na mafile kitandani.