Uchaguzi 2020 Inakuwaje Magufuli anatupangia tumchague nani na nani tusimchague?

Anashangaza sana,kura tutapiga sie so atuache
 
Mimi nilitaka nimpe kura magufuli ila wabunge wake wa mwanza na madiwani niwakate wote. Sababu kubwa ni kuwa tupo kanda ya ziwa ila maji tunapata kwa mgao.

Sasa kwa kauli yake ya toka jumamosi na yeye hapati kura yangu ili kama kujuta tujete tu mazima.
 
Kwani, Lissu anaposema tumchague yeye kuwa rais wa nchi hii anatulazimisha? Mimi naona ni namna tu ya kujinadi ili kuwashawishi wananchi wampigie kura. Anajaribu kuwashawishi wananchi wamchague yeye kama mgombea kiti cha urais, wachague mbunge wa chama chake pamoja na diwani. Kaa ukijua, kama unasikiliza hotuba ya mtu yeyote yule kwa lengo la kutaka kukosoa, huwezi kukosa kasoro. Hii ni kwa sababu binadamu tumeumbwa na mapungufu, hakuna aliyekamilika!
 

Amepanic ,sasa kuwahadaa wapiga kura kila aendako anawaahidi kuwa wakiwachagua hao watu wake watapata uwaziri!!! Sijui hilo baraza lake la mawaziri litakuwa na mawaziri 100!!!! Badala ya kuzungumzia sera yeye anatumia blackmail kuwa mkichagua asiowataka seheme yenu itanyimwa maendeleo; what type of leadership is this? Haijawahi kutokea kwa nchi yetu kunajisiwa kama Jiwe anavyoinajis hivi sasai!!!
 
Ukisikia dictator uchwara hiyo ndio maana yake na ole wenu mmchague Tena ndio anaenda kuwa dictator kamili ambapo atawachagulia mlale vipi na wake zenu WATZ HUWA MNAJITOA AKILI JITOENI NA UCHAGUZI HUU MTANYOOSHWA KWELI KWELI MKISHINDWA KUMTHIBITI LEO KESHO MTASHINDWA
 
Ndo maana mimi nimepanga kuunguza kura yangu nampa MZEE WA UBWABWA(RUNGWE BOY)
 
Sijaona watu walipolazimishwa, nilichokiona ni anafanya kampeni wagombea wa chama chake wapigiwe kura.
Ni ujinga kufikiri unalazimishwa, kura ni siri yako.
Unabisha nini wakati anatamka wazi, anatumia porojo ya maendeleo kama silaha ya kuchagiza watu wampe kura.

Hajui kuwa hizo pesa zinazotumika katika maendeleo hazitokani na mashahara wake bali ni za hao hao anaowatishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…