Inakuwaje Mambo haya??

mmh! Ushaniharibia. Ngoja niache.

Back to mjukuu's thread...
Hivi katika umri wako ni mara ngapi ushaona kijana (mdogo sana kukuzidi), akizama kwenye penzi la kijana mwenzie, ila ukiwa una hakika huyo mwenzie ni tapeli wa kimapenzi?
Ni mara ngapi ulijitahidi kumwelezea huyo dogo kwamba anauvaa mkenge ila akiweka supagluu kwenye masikio?

Mara nyingi watu wanaumizwa sana kimapenzi wanakua wameshakaidi sana muongozo wa wakubwa zao......kuna mtu kwa uzoefu wako unaona kwamba ni crap....hana mapenzi ya dhati...ila ukiwamwambia yule aliyependa anakuona wewe ni crap....
Then booooooom!

MJ1, Nyamayao et al, hamkuwahi kupokea maonyo kwamba hao jamaa walikua craps....?

 
[


Mimi nakumbuka there was this guy...oh my GOD.....yaani alifikia hatua ya kunipa ratiba kabisa kuwa leo ninakwenda kwa flani nami nikajikuta nakubali na kuhangaika kumwonyesha mapenzi but at the end of day I lost him completely.......


Du! Namuonea wivu yule jamaa. Wengine tunaugua utapiamlo wa kupendwa/mapenzi!​
 

aisee babu nimeona vibinti vingi tatizo micharuko sana ikabidi niwapotezee.
Tatizo letu wengi huwa tunapendwa tusipopenda na kupenda tusipopendwa.
 

RR ni afadhali hata ukajuzwa afu ukaamini na kufuatilia...........wengi wetu in a society huwa tunaogopa kusema ukweli juu ya mahusiano ya watu, matokeo yeke husemea pembeni .......utasikia mh.......yule atamwumiza tu....wape miezi michache wanajifanya ndege tunduni mbona yule mwenzie tapeli........wanasemea pembeni hakuna anayekupa straight RR....................

Mie nna dadangu, mumewe alikuwa anatembea na mama mwenye nyumba.....wapangaji wote walijua isipokuwa yeye..........
 

Kwa kawaida inachukua mda mrefu sana mtu kuwa na uthubutu wa kumwambia mtu ukweli 'mbaya'....ule unaochoma au kusambaratisha....nalikubali....
Swali langu kwako mjukuu.....wakati wa ule uhusiano wako mbaya, hakuna mkubwa wako alikukanya kuhusu huyo bwana? Labda ukapuuza?
Hawa 'heartbreakers' mara nyingi wanaonekana na watu wengine....isipokuwa mhusika...hujawahi kuonywa au kutahadharishwa kwamba yule bwana hakufai?
 


...safi kabisa.

Ila, jambo linalonishughulisha, Iweje hao watu baki waone ubayani na mapeema
ilhali mhusika wa tukio haoni wala hasikii? Nini kinawapa 'unajimu' huo?

Kwanini mapenzi hutufanya vipofu na viziwi?
 
@MBU...

Haya mambo ya mapenzi ni kama mapepo vile, unaweza ukapenda kitu cha ajabu kiasi kwamba ukimalizana naye unajishangaa what happended that i felt in love with that sh!t

Hayo ndio mafumbo matamu sana Mungu aliyotukabidhi
 
@MBU...

Haya mambo ya mapenzi ni kama mapepo vile, unaweza ukapenda kitu cha ajabu kiasi kwamba ukimalizana naye unajishangaa what happended that i felt in love with that sh!t

Hayo ndio mafumbo matamu sana Mungu aliyotukabidhi

Haya ya maumivi ya mapenzi ni shetani anayachomekea mazee....
Mapenzi ya kimungu hayana upofu wala upotofu....
 
Inawezekana kweli,labda sielewi sidhani kama kuna kuna kitu cha ajabu ivo na ndio maana kila jambo linatokea kwa sababu kwa wakati fulani.......... learn to appreciate ulivovipata wakati upo kwenye mapenzi and let me ask you question how did you fall in love in the first place kama hamna lilikovutia.:help:


@MBU...

Haya mambo ya mapenzi ni kama mapepo vile, unaweza ukapenda kitu cha ajabu kiasi kwamba ukimalizana naye unajishangaa what happended that i felt in love with that sh!t

Hayo ndio mafumbo matamu sana Mungu aliyotukabidhi
 
ukimalizana naye unajishangaa what happended that i felt in love with that sh!t
Mpaka ufikirie hivyo kweli huyo mtuatakua amekutenda haswa!Kwa namna moja ama nyingine!
 
love is blind...
 
haya ya maumivi ya mapenzi ni shetani anayachomekea mazee....
Mapenzi ya kimungu hayana upofu wala upotofu....
kamanda

tukija kwenye mapenzi ya kimungu, basi tutaishia kwa bwana yesu, bikira maria, sir god mwenyewe, mtume muhammad s.a.w na watakatifu wote

kwani mimi na wewe si wakamilifu na shetani anapiga round kila wakati vichwani mwetu
 
kamanda

tukija kwenye mapenzi ya kimungu, basi tutaishia kwa bwana yesu, bikira maria, sir god mwenyewe, mtume muhammad s.a.w na watakatifu wote

kwani mimi na wewe si wakamilifu na shetani anapiga round kila wakati vichwani mwetu


Sawa mkuu...angalao tuna pa kulaumu mambo yanapokwenda mrama.....shetani!
:smile-big:
 
how will i know if she loves me? Hivi una imani kuwa utakuja kuwa na demu wa peke yako?
 
ni kweli when u,r in love u dont see anything na wakati mwingine sio kwamba hatuoni unavumilia sababu unapenda ndio ilivo.na ndio maana nikisema cha nini mwingine anakivizia mlangoni,kila binadamu ana sehemu na umuhimu wake kwenye maisha ulimpenda ,hukumpenda lazima ana mema yake.

at least nilijifunza kuwathamini na kuwaheshimu wote walionitenda and i love them very much na huko walipo nawaombea mema sababu walihitaji hayo waliyonayo,ingawaje kukubali ukweli mwanzo ilikuwa ngumu.


love is blind...
 

Ok....
Kuna haja ya kuwekeza muda na resources zaidi tunapotafuta soulmates....:yield:
 
sijakuelewa RR una maana gani unataka tuishi kwa vinyongo sababu mtu alikuacha sijaelewa.


Ok....
Kuna haja ya kuwekeza muda na resources zaidi tunapotafuta soulmates....:yield:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…