Inakuwaje Mambo haya??

Inakuwaje Mambo haya??

nilichoona kuchukulia kama mchezo wa maigizo maana ndio ulivo pale unapopenda hupendwi unaambulia maumivu,kule anapopenda mwenzie ana malengo yake anaishia kupata yake, anarudi alipopenda nako kunakuwa kumefungwa dah kama kamchezo fulani.

Acha tu besti haya mambo naona yanapitia wengi sana, karibia dunia nzima..sijui wanapendwaga hivi wanahisi wanaweza kufanya chochote kwa wanaowapenda ili mradi wamezimikiwa basi wanajiona wako in charge!..kama ulivyosema ukiwa legelege, akijisikia kukuchezea anajua 'button ya kupress' haalafu hamna kitu zaidi ya hapo!! agrrr
 
mwanajamiione naomba na mimi nitoe mapendekezo/maoni yangu kuhusu hili bandiko.

nimesoma vizuri kila kitu,na michango ya karibu kila mtu.katika uelewa wangu nimegundua kwamba ukimuondoa mkuu mbu michango iliyobaki ni kama inafanana.watu wengi tumejikita kujadili ''the aftermath'' badala ya kujadili chanzo hasa cha haya yanayotokea (kuvunjana mioyo).SIO KITU KIBAYA lakini wakati umefika wajumbe kujaribu kuhoji kwanini HUYU ANANG'ANG'ANIA na yule anasema BABY COMEBACK.kuna kitu mbu na lizzy wamekiongea kwenye moja ya mabandiko yao nimekilove sana.kumpa mtu second chance au kumpotezea sio ishu,ndo maana mara zote tunamkosea mwenyezi mungu lakini bado anatupa nafasi ya kutubu na maisha yanaendelea.mmi concern yangu ni moja tu kwamba tufike mahala hata tuombe research tujiulize KWANINI HUYU ANAUVUNJA MOYO WA MTU ALIYEKUWA ANAMTAMKIA ANAMPENDA SIKU ZOTE?....lazima utakuta 'a history behind the scene' KWENYE HILI MAONI YANGU NI HAYO TU!
 
duh, wewe kweli klorokwin

Dawa yake simpo sana... chukua mamsapu yako anza kuchapia sebuleni, ikigonga mlango unatoka na ndom inaning'inia na kumwambia asubiri nje ukimaliza kukamua utamfungulia

HAJI TENA HUYO HADI KWA EMAIL
:love:
hehehe kamanda nimekuweka kwenye list ya mgreti thinka from now on. Advice taken acha nikanunue ndom oversize kuonesha msisitizo.
 
Teamo, umesema vema lakini mi naomba nikujibu kwa upande wangu,ilishawahi kunitokea wakati mwingine ni ubinafsi tulioumbwa nao huyu kaka alinipenda sana tena sana, naweza kusema kama kuna mtu alitoa yote kwangu ni yeye, lakini kila nilipokuwa nikijitahidi kumpenda wapi siku moja nikaamua kumwambia ukweli ooh sitakaa nisahau sijawahi ona mwanaume akinililia.

niliumia sana lakini nifanyeje kuendelea kukaa na mtu ambaye moyoni hayupo yule kaka aliondoka sikuwahi kumuona tena nikaja kuambiwa na rafiki zake amehamia marekani na mpaka leo sijawahi kumuona tena.

na kule nilipoelekea teamo vilio havikukauka sana sana ni kujitahidi mambo yawe sawa vitu viende.huwa siwezi kulaumu sana lakini mwisho wa siku sijui tumeumbwaje au kuna nini kinachopelekea mapenzi kuwa katika muelekeo huu.Wataalamu humu watusaidie.:noidea:

mwanajamiione naomba na mimi nitoe mapendekezo/maoni yangu kuhusu hili bandiko.

nimesoma vizuri kila kitu,na michango ya karibu kila mtu.katika uelewa wangu nimegundua kwamba ukimuondoa mkuu mbu michango iliyobaki ni kama inafanana.watu wengi tumejikita kujadili ''the aftermath'' badala ya kujadili chanzo hasa cha haya yanayotokea (kuvunjana mioyo).SIO KITU KIBAYA lakini wakati umefika wajumbe kujaribu kuhoji kwanini HUYU ANANG'ANG'ANIA na yule anasema BABY COMEBACK.kuna kitu mbu na lizzy wamekiongea kwenye moja ya mabandiko yao nimekilove sana.kumpa mtu second chance au kumpotezea sio ishu,ndo maana mara zote tunamkosea mwenyezi mungu lakini bado anatupa nafasi ya kutubu na maisha yanaendelea.mmi concern yangu ni moja tu kwamba tufike mahala hata tuombe research tujiulize KWANINI HUYU ANAUVUNJA MOYO WA MTU ALIYEKUWA ANAMTAMKIA ANAMPENDA SIKU ZOTE?....lazima utakuta 'a history behind the scene' KWENYE HILI MAONI YANGU NI HAYO TU!
 
mwanajamiione naomba na mimi nitoe mapendekezo/maoni yangu kuhusu hili bandiko.

nimesoma vizuri kila kitu,na michango ya karibu kila mtu.katika uelewa wangu nimegundua kwamba ukimuondoa mkuu mbu michango iliyobaki ni kama inafanana.watu wengi tumejikita kujadili ''the aftermath'' badala ya kujadili chanzo hasa cha haya yanayotokea (kuvunjana mioyo).SIO KITU KIBAYA lakini wakati umefika wajumbe kujaribu kuhoji kwanini HUYU ANANG'ANG'ANIA na yule anasema BABY COMEBACK.kuna kitu mbu na lizzy wamekiongea kwenye moja ya mabandiko yao nimekilove sana.kumpa mtu second chance au kumpotezea sio ishu,ndo maana mara zote tunamkosea mwenyezi mungu lakini bado anatupa nafasi ya kutubu na maisha yanaendelea.mmi concern yangu ni moja tu kwamba tufike mahala hata tuombe research tujiulize KWANINI HUYU ANAUVUNJA MOYO WA MTU ALIYEKUWA ANAMTAMKIA ANAMPENDA SIKU ZOTE?....lazima utakuta 'a history behind the scene' KWENYE HILI MAONI YANGU NI HAYO TU!

Hivi mtu unajuaje kama unapendwa....unapokua umependa.....
 
actions speaks louder tha words huwa tunafunga macho tu unapokuwa umependa lakini ukweli ni kwamba mapenzi ya kweli yanaonekana bila hata kusema.

Hivi mtu unajuaje kama unapendwa....unapokua umependa.....
 
"mapenzi ni usanii, expect less and always be free to free those who dont free your feelings ", mwisho wa kunukuu.

6 Groans????:mmph: Umeharibu wapi????

:focus: Kweli mapenzi ni usanii....ila sio wakati wote just sometymzz!
 
Teamo, umesema vema lakini mi naomba nikujibu kwa upande wangu,ilishawahi kunitokea wakati mwingine ni ubinafsi tulioumbwa nao huyu kaka alinipenda sana tena sana, naweza kusema kama kuna mtu alitoa yote kwangu ni yeye, lakini kila nilipokuwa nikijitahidi kumpenda wapi siku moja nikaamua kumwambia ukweli ooh sitakaa nisahau sijawahi ona mwanaume akinililia.

niliumia sana lakini nifanyeje kuendelea kukaa na mtu ambaye moyoni hayupo yule kaka aliondoka sikuwahi kumuona tena nikaja kuambiwa na rafiki zake amehamia marekani na mpaka leo sijawahi kumuona tena.

na kule nilipoelekea teamo vilio havikukauka sana sana ni kujitahidi mambo yawe sawa vitu viende.huwa siwezi kulaumu sana lakini mwisho wa siku sijui tumeumbwaje au kuna nini kinachopelekea mapenzi kuwa katika muelekeo huu.Wataalamu humu watusaidie.:noidea:
:doh::doh::doh::doh::doh::doh:
 
Ok CHAURO Nshakujua sasa hadi jina lako kamili... na dogo ntamwambia akuPM kumbe ni wewe, duh!!

Hivi unajua keshaoa kule aisee, na disemba alikua bongo??:tape:
 
hahaaaaaaa utaharibu sitaki kuona hata sura yake nsije nikaleta maumivu.

Nshakujua sasa hadi jina lako kamili... na dogo ntamwambia akuPM kumbe ni wewe, duh!!

Hivi unajua keshaoa kule aisee, na disemba alikua bongo??:tape:
 
nilichoona kuchukulia kama mchezo wa maigizo maana ndio ulivo pale unapopenda hupendwi unaambulia maumivu,kule anapopenda mwenzie ana malengo yake anaishia kupata yake, anarudi alipopenda nako kunakuwa kumefungwa dah kama kamchezo fulani.

Yani ni full kuchanganya...Bora kuigiza mana maigizo yana mwisho, mweeh!!
Mamii jina lako limenikumbusha Chauro wakati nipo muhimbili primary, nilikuwa nazipenda kweli!! ha ha
 
yani mpenzi unaweza onekana kichaa ivi ivi kumbe mzima wa akili..........haya mambo mengine sijui kwanini yalikuwepo.chauro ni kama kaugonjwa yani nazipenda kweli mpaka siku natafuta jina huku nikajipachika mwenyewe chauro.

Yani ni full kuchanganya...Bora kuigiza mana maigizo yana mwisho, mweeh!!
Mamii jina lako limenikumbusha Chauro wakati nipo muhimbili primary, nilikuwa nazipenda kweli!! ha ha
 
Hivi... ntu akikupenda sana halafu ukawa humpi ile njuruu akikubaka ni sawa kweli?? tena hasa akiwa mwananke ndio anataka kubaka:help:
 
Back
Top Bottom