Chauro
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 2,968
- 1,478
nilichoona kuchukulia kama mchezo wa maigizo maana ndio ulivo pale unapopenda hupendwi unaambulia maumivu,kule anapopenda mwenzie ana malengo yake anaishia kupata yake, anarudi alipopenda nako kunakuwa kumefungwa dah kama kamchezo fulani.
Acha tu besti haya mambo naona yanapitia wengi sana, karibia dunia nzima..sijui wanapendwaga hivi wanahisi wanaweza kufanya chochote kwa wanaowapenda ili mradi wamezimikiwa basi wanajiona wako in charge!..kama ulivyosema ukiwa legelege, akijisikia kukuchezea anajua 'button ya kupress' haalafu hamna kitu zaidi ya hapo!! agrrr