mmh! Ushaniharibia. Ngoja niache.
Back to mjukuu's thread...
Hivi katika umri wako ni mara ngapi ushaona kijana (mdogo sana kukuzidi), akizama kwenye penzi la kijana mwenzie, ila ukiwa una hakika huyo mwenzie ni tapeli wa kimapenzi?
Ni mara ngapi ulijitahidi kumwelezea huyo dogo kwamba anauvaa mkenge ila akiweka supagluu kwenye masikio?
Mara nyingi watu wanaumizwa sana kimapenzi wanakua wameshakaidi sana muongozo wa wakubwa zao......kuna mtu kwa uzoefu wako unaona kwamba ni crap....hana mapenzi ya dhati...ila ukiwamwambia yule aliyependa anakuona wewe ni crap....
Then booooooom!
MJ1, Nyamayao et al, hamkuwahi kupokea maonyo kwamba hao jamaa walikua craps....?