Acha tu besti haya mambo naona yanapitia wengi sana, karibia dunia nzima..sijui wanapendwaga hivi wanahisi wanaweza kufanya chochote kwa wanaowapenda ili mradi wamezimikiwa basi wanajiona wako in charge!..kama ulivyosema ukiwa legelege, akijisikia kukuchezea anajua 'button ya kupress' haalafu hamna kitu zaidi ya hapo!! agrrr
hehehe kamanda nimekuweka kwenye list ya mgreti thinka from now on. Advice taken acha nikanunue ndom oversize kuonesha msisitizo.duh, wewe kweli klorokwin
Dawa yake simpo sana... chukua mamsapu yako anza kuchapia sebuleni, ikigonga mlango unatoka na ndom inaning'inia na kumwambia asubiri nje ukimaliza kukamua utamfungulia
HAJI TENA HUYO HADI KWA EMAIL
:love:
mwanajamiione naomba na mimi nitoe mapendekezo/maoni yangu kuhusu hili bandiko.
nimesoma vizuri kila kitu,na michango ya karibu kila mtu.katika uelewa wangu nimegundua kwamba ukimuondoa mkuu mbu michango iliyobaki ni kama inafanana.watu wengi tumejikita kujadili ''the aftermath'' badala ya kujadili chanzo hasa cha haya yanayotokea (kuvunjana mioyo).SIO KITU KIBAYA lakini wakati umefika wajumbe kujaribu kuhoji kwanini HUYU ANANG'ANG'ANIA na yule anasema BABY COMEBACK.kuna kitu mbu na lizzy wamekiongea kwenye moja ya mabandiko yao nimekilove sana.kumpa mtu second chance au kumpotezea sio ishu,ndo maana mara zote tunamkosea mwenyezi mungu lakini bado anatupa nafasi ya kutubu na maisha yanaendelea.mmi concern yangu ni moja tu kwamba tufike mahala hata tuombe research tujiulize KWANINI HUYU ANAUVUNJA MOYO WA MTU ALIYEKUWA ANAMTAMKIA ANAMPENDA SIKU ZOTE?....lazima utakuta 'a history behind the scene' KWENYE HILI MAONI YANGU NI HAYO TU!

Hivi mtu unajuaje kama unapendwa....unapokua umependa.....
"mapenzi ni usanii, expect less and always be free to free those who dont free your feelings ", mwisho wa kunukuu.Ha ha..atabaki kushangaa mana simpendi tena hata ependo wa agape sina kwake!!..ok, nitachunga hiyo PM mazee!!!
Umewahi kupenda wewe??..acha kabisa!!mapenzi kizungumkati!!!
believe me... it works!!!hehehe kamanda nimekuweka kwenye list ya mgreti thinka from now on. Advice taken acha nikanunue ndom oversize kuonesha msisitizo.
"mapenzi ni usanii, expect less and always be free to free those who dont free your feelings ", mwisho wa kunukuu.
"mapenzi ni usanii, expect less and always be free to free those who dont free your feelings ", mwisho wa kunukuu.
:doh::doh::doh::doh::doh::doh:Teamo, umesema vema lakini mi naomba nikujibu kwa upande wangu,ilishawahi kunitokea wakati mwingine ni ubinafsi tulioumbwa nao huyu kaka alinipenda sana tena sana, naweza kusema kama kuna mtu alitoa yote kwangu ni yeye, lakini kila nilipokuwa nikijitahidi kumpenda wapi siku moja nikaamua kumwambia ukweli ooh sitakaa nisahau sijawahi ona mwanaume akinililia.
niliumia sana lakini nifanyeje kuendelea kukaa na mtu ambaye moyoni hayupo yule kaka aliondoka sikuwahi kumuona tena nikaja kuambiwa na rafiki zake amehamia marekani na mpaka leo sijawahi kumuona tena.
na kule nilipoelekea teamo vilio havikukauka sana sana ni kujitahidi mambo yawe sawa vitu viende.huwa siwezi kulaumu sana lakini mwisho wa siku sijui tumeumbwaje au kuna nini kinachopelekea mapenzi kuwa katika muelekeo huu.Wataalamu humu watusaidie.:noidea:
:doh::doh::doh::doh::doh::doh:
Nshakujua sasa hadi jina lako kamili... na dogo ntamwambia akuPM kumbe ni wewe, duh!!
Hivi unajua keshaoa kule aisee, na disemba alikua bongo??:tape:
hahaaaaaaa utaharibu sitaki kuona hata sura yake nsije nikaleta maumivu.
i thought uko ngangari kumbe ni sawa na MJ1
nilichoona kuchukulia kama mchezo wa maigizo maana ndio ulivo pale unapopenda hupendwi unaambulia maumivu,kule anapopenda mwenzie ana malengo yake anaishia kupata yake, anarudi alipopenda nako kunakuwa kumefungwa dah kama kamchezo fulani.
"mapenzi ni usanii, expect less and always be free to free those who dont free your feelings ", mwisho wa kunukuu.
Yani ni full kuchanganya...Bora kuigiza mana maigizo yana mwisho, mweeh!!
Mamii jina lako limenikumbusha Chauro wakati nipo muhimbili primary, nilikuwa nazipenda kweli!! ha ha