Me aint time waster darling.........time is money and No money No Love.
KIWAVI.................ni kweli mie nina moyo wa kike........ni dhaifu hasa kwenye mambo ya hisia LOLi thought uko ngangari kumbe ni sawa na MJ1
KIWAVI.................ni kweli mie nina moyo wa kike........ni dhaifu hasa kwenye mambo ya hisia LOL
MJI hivi hakuna dawa ya mioyo ya ivi mi nahangaika kuitafuta bado kupata.
hehehe kwenye ile sredi "kitufe cha groan", kuna wazembe walikuwa wanapractice kitufe kupitia post zangu, halaf pia kuna mod (jina kapuni), ana maslahi binafsi na husninyo, sasa alipoona natelemka mistari na husninyo akaona anilembee groan kunikata mzuka. Lakini Mungu atanilipia bana.6 Groans????:mmph: Umeharibu wapi????
:focus: Kweli mapenzi ni usanii....ila sio wakati wote just sometymzz!
hehehe kwenye ile sredi "kitufe cha groan", kuna wazembe walikuwa wanapractice kitufe kupitia post zangu, halaf pia kuna mod (jina kapuni), ana maslahi binafsi na husninyo, sasa alipoona natelemka mistari na husninyo akaona anilembee groan kunikata mzuka. Lakini Mungu atanilipia bana.
bek to topik: mapenzi ni usanii all the time, tafauti ni kuna ule usanii wa kujenga penzi na kuna ule usanii wa kubomoa penzi. sifafanui zaidi, nina njaa ajabu
hahahahaha! Mi pia nimekuta groan 5. Dah! Ile sredi imetuharibia. Halafu hiki kitufe cha groan kimekuwa rahisi kugonga kuliko thanks au?
Dah!
hehehe halaf groan zako ni VIP tupu ,yaani first class. nenda kule kwenye sredi "kitufe cha groan" ukathibitishe.hahahahaha! Mi pia nimekuta groan 5. Dah! Ile sredi imetuharibia. Halafu hiki kitufe cha groan kimekuwa rahisi kugonga kuliko thanks au?
Dah!
Mjukuu mtiifu.KIWAVI.................ni kweli mie nina moyo wa kike........ni dhaifu hasa kwenye mambo ya hisia LOL
Mtu akichakachua thredi....unachapa na dabo groan....
mzee wa tiba hapa nimetoa maoni tu...sina nia ya kukuharibia kwa BusuNinyo
kama ulichangia ile sredi "kitufe cha groan" usiulize groan zimetokea wapi?, nenda katembelee ile sredi tu, am sure groan lako liko kule.Kloro...naona na mimi nimegongewa sijui hata natnani?Kuhusu usanii karibu ule alafu ufafanue zaidi.Nahitaji somo kwa matumizi ya baadae...alafu ni kwa faida ya wote ili hata kina MJ1 wajue usanii upi unakua vipi!
duh!hehehe halaf groan zako ni VIP tupu ,yaani first class. nenda kule kwenye sredi "kitufe cha groan" ukathibitishe.
The Following 3 Users Groaned At Husninyo For This Awful Post:
DUH...Mjukuu mtiifu.
Naomba nirequest kitu kwako: Naomba uanzishe sredi kuhusiana na hiyo red hapo. Kiukweli kabisa ningejiskia nimeshinda ubunge kuona mjadala hapa JF kuhusiana na hiyo red. Ukiignore hii request yangu nakugroan.
dah....... siamini paw na invisble ni groanersduh!
Mwambie invisible na paw waongeze bidii katika kugawa hizo groan, wengine huwa sio watu wa kumind vitu hivyo.
mie nina wa kiume, can we do a group discussion?KIWAVI.................ni kweli mie nina moyo wa kike........ni dhaifu hasa kwenye mambo ya hisia LOL
He he, kila mtu na kilio chake cha mapenzi lakini hamkomi kuweka roho zenu rehani.
Dah hailezi chochote.kama ulichangia ile sredi "kitufe cha groan" usiulize groan zimetokea wapi?, nenda katembelee ile sredi tu, am sure groan lako liko kule.
bek to ze topik: dah!