Inakuwaje Mambo haya??

Inakuwaje Mambo haya??

Mapenzi ni ujinga ambao Mungu ametupa kutunyoosha

bila mapenzi tungekua tunaringa sana duniani
 
6 Groans????:mmph: Umeharibu wapi????

:focus: Kweli mapenzi ni usanii....ila sio wakati wote just sometymzz!
hehehe kwenye ile sredi "kitufe cha groan", kuna wazembe walikuwa wanapractice kitufe kupitia post zangu, halaf pia kuna mod (jina kapuni), ana maslahi binafsi na husninyo, sasa alipoona natelemka mistari na husninyo akaona anilembee groan kunikata mzuka. Lakini Mungu atanilipia bana.

bek to topik: mapenzi ni usanii all the time, tafauti ni kuna ule usanii wa kujenga penzi na kuna ule usanii wa kubomoa penzi. sifafanui zaidi, nina njaa ajabu
 
hahahahaha! Mi pia nimekuta groan 5. Dah! Ile sredi imetuharibia. Halafu hiki kitufe cha groan kimekuwa rahisi kugonga kuliko thanks au?
Dah!
 
Mtu akichakachua thredi....unachapa na dabo groan....
mzee wa tiba hapa nimetoa maoni tu...sina nia ya kukuharibia kwa BusuNinyo
 
hehehe halaf groan zako ni VIP tupu ,yaani first class. nenda kule kwenye sredi "kitufe cha groan" ukathibitishe.

The Following 3 Users Groaned At Husninyo For This Awful Post:
Invisible (Yesterday), Paw (Today), Sigma (Today)

turudi kwenye mada kabla mjukuu mtiifu hajatugroan kwenye sredi yake.
 
KIWAVI.................ni kweli mie nina moyo wa kike........ni dhaifu hasa kwenye mambo ya hisia LOL
Mjukuu mtiifu.
Naomba nirequest kitu kwako: Naomba uanzishe sredi kuhusiana na hiyo red hapo. Kiukweli kabisa ningejiskia nimeshinda ubunge kuona mjadala hapa JF kuhusiana na hiyo red. Ukiignore hii request yangu nakugroan.
 
Kloro...naona na mimi nimegongewa sijui hata natnani?Kuhusu usanii karibu ule alafu ufafanue zaidi.Nahitaji somo kwa matumizi ya baadae...alafu ni kwa faida ya wote ili hata kina MJ1 wajue usanii upi unakua vipi!
 
Mtu akichakachua thredi....unachapa na dabo groan....
mzee wa tiba hapa nimetoa maoni tu...sina nia ya kukuharibia kwa BusuNinyo

mmh! Ushaniharibia. Ngoja niache.
 
  • Thanks
Reactions: RR
Kloro...naona na mimi nimegongewa sijui hata natnani?Kuhusu usanii karibu ule alafu ufafanue zaidi.Nahitaji somo kwa matumizi ya baadae...alafu ni kwa faida ya wote ili hata kina MJ1 wajue usanii upi unakua vipi!
kama ulichangia ile sredi "kitufe cha groan" usiulize groan zimetokea wapi?, nenda katembelee ile sredi tu, am sure groan lako liko kule.
bek to ze topik: dah!
 
He he, kila mtu na kilio chake cha mapenzi lakini hamkomi kuweka roho zenu rehani.
 
hehehe halaf groan zako ni VIP tupu ,yaani first class. nenda kule kwenye sredi "kitufe cha groan" ukathibitishe.

The Following 3 Users Groaned At Husninyo For This Awful Post:
Invisible (Yesterday), Paw (Today), Sigma (Today) .
duh!
Mwambie invisible na paw waongeze bidii katika kugawa hizo groan, wengine huwa sio watu wa kumind vitu hivyo.
 
Mjukuu mtiifu.
Naomba nirequest kitu kwako: Naomba uanzishe sredi kuhusiana na hiyo red hapo. Kiukweli kabisa ningejiskia nimeshinda ubunge kuona mjadala hapa JF kuhusiana na hiyo red. Ukiignore hii request yangu nakugroan.
DUH...

khe khe kheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...................... UNATAKA KUWA GROANING EXPERT MAZEE??

hivi unajua groan na groin they are almost close ??
 
He he, kila mtu na kilio chake cha mapenzi lakini hamkomi kuweka roho zenu rehani.

Tutawezaje kujizuia kutaka raha inayopatikana kwenye hiyo exchange ya mioyo kama ukipatia?
 
Back
Top Bottom