Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi.
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Pia, soma=> Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Ikulu imekuwa kichekesho. Huyu Bwana Milton Lupa amefariki kwa ajali eneo la Dumila juzi. Alikuwa njiani kuja Dodoma kwenye kituo chake cha kazi VETA. Cha kushangaza jioni hii Dr. Kusilika KM Kiongozi anatoa taarifa kuwa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi HW Kilolo.
Ikulu kuweni serious kidogo mmekuwa kichekesho kwa kila kitu.