Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Inasikitisha.Kama hawajui kinachoendelea nchini wataweza kweli kusoma mikataba ya 100 pages kwa lugha ya kigeni with fine prints? Nchi ya kusadikika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha.Kama hawajui kinachoendelea nchini wataweza kweli kusoma mikataba ya 100 pages kwa lugha ya kigeni with fine prints? Nchi ya kusadikika.
Labda alikuwa kwenye list ila Sasa wakasahau kupata taarifa na kufanya updates si unajua ni mpaka ofisi ya Rais Ipewe taarifa wao hawamjui Kila mtuMilton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?View attachment 3010470
Mkeka ulipangwa wiki chache zilopita na hii imetumika kama fursa.Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?View attachment 3010470
Umeliangalia hili jambo kiandamizi.Nyota....
Wabongo hatuna ajira ila tuna kaziWatz hatupumziki, huku bize bize na mjadala wa safari ya korea na wasanii, mara vuuuup jimkopo limesainiwa mara mjadala kopo hilo tumetoa bahari....mara vuuup keka hilo. Watz tupo bize hadi raha....
Kwahy kuna watu wamefanya makusudi mzigo uende hewani ili mama aonekane carelessMkeka ulipangwa wiki chache zilopita na hii imetumika kama fursa.
Palikuwa na mtifuano baada ya ile habari ya 4 against 29+ kwenye meeting ya Seoul.
Hivyo Kusiluka kafunua makucha na kafanya reshuffle unoiona na katangaza mwenyewe.