Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikulu ni pango la comedians mkuu. Kumbe ulikuwa hujui hilo? Hawa jamaa wanachekesha sana. CCM is a laughing stock 😂🤣😂🤣Ikulu imekuwa kichekesho. Huyu Bwana Milton Lupa amefariki kwa ajali eneo la Dumila juzi. Alikuwa njiani kuja Dodoma kwenye kituo chake cha kazi VETA. Cha kushangaza jioni hii Dr. Kusilika KM Kiongozi anatoa taarifa kuwa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi HW Kilolo.
Ikulu kuweni serious kidogo mmekuwa kichekesho kwa kila kitu.
Kwa hiyo unataka kusema kuwa jamaa amefariki tangu juzi walikuwa hawana update mkuu? Usitetee ujinga.Kwani unadhani uteuzi Huwa unafanywa siku Moja au ndani ya mda mchache kabla ya kutangazwa?
Nchi inajiendea tu!! Pengine hata mama hajui kesho ana ziara nchi ganiMilton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?View attachment 3010470
Unauliza au unaeleza?If ni kweli wahusika hawako makini?
Ume comment upumbavu mtupu, uwe na staha mjinga we!Hii nchi kiukwel imejaa wapumbavu mnoo huko serikalini. Yan kwakwel hata majirani watakua wanatutzama wanachekaa sanaa.
Mtu kiguu na njia 24/7 katoka kuzurura korea huko na genge lake la wahuni anafikia kusoma majina ya uteuzi, mpaka marehemu wako humo wala hana habari.
Jamani!!! Kama mambo madogo kama haya ambayo yanakuja public mnafanya blunder za kijinga namna hii, sipati picha hiyo mikataba mnayoisanisha kwa wageni.
Serikal hii hakika ni yakipumbavu sana
Yaani hii ni aibu kabisa, Nakumbuka Mwalimu mmoja aliwahi toa Ripoti ya Maendeleo Kwa Mzazi ambaye mwanafunzi huyo alishafarikiHaijalishi. Mkeka umetoka leo! Hawajui kuwa amefariki?
Hapana, watapewa nafasi wapeleke mbadalaFamilia ya Marehemu wanaweza kuwashtaki Ikulu?
Hapana, kumekosekana umakini. Usione watu wa Ikulu za wenzetu waloendelea wasemaji wapo hata wanne au watano.Kwahy kuna watu wamefanya makusudi mzigo uende hewani ili mama aonekane careless
Kwakweli awamu hii nchi imepatwa!!!Hii ndio picha ya utawala na utendaji wa kizimkazi.je yale ya ndani uko ikulu Itakua ni hali tete tu.
Tukisema mnaona tuna mchafua ona sasa kaonyesha mauchafu yake. Watanganyika tujipange sana kuhusu kizimkazi.
Yuko bze na masafari ya majuu tu na ndio maana wateuliwa wake wanaiba tu.
KAZI ni kipimo cha UTU
SIbishani na mafala mimi, pita kule..Ume comment upumbavu mtupu, uwe na staha mjinga we!