Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

Hii ndio picha ya utawala na utendaji wa kizimkazi.je yale ya ndani uko ikulu Itakua ni hali tete tu.

Tukisema mnaona tuna mchafua ona sasa kaonyesha mauchafu yake. Watanganyika tujipange sana kuhusu kizimkazi.

Yuko bze na masafari ya majuu tu na ndio maana wateuliwa wake wanaiba tu.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kuna shida mahali
 
Ikulu imekuwa kichekesho. Huyu Bwana Milton Lupa amefariki kwa ajali eneo la Dumila juzi. Alikuwa njiani kuja Dodoma kwenye kituo chake cha kazi VETA. Cha kushangaza jioni hii Dr. Kusilika KM Kiongozi anatoa taarifa kuwa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi HW Kilolo.
Ikulu kuweni serious kidogo mmekuwa kichekesho kwa kila kitu.
Tunataka katiba MPYAAAAAA
 
Back
Top Bottom