mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
Short and clear Ipo hivi, ukitoa mambo mengine yote ninayoweza kufanya Kwa ajili ya kujipatia kipato na kuchangamsha akili basi ni ufugaji wa ngombe wa maziwa ,samaki, kuku na samaki na kilimo kiufupi nafurahia Sana kwenda mashambani na kukaa huko,inanisaidia Sana kupunguza stress, uchovu na kelele za mjini .
Hivyo nimekuwa ni mfugaji wa ngombe Kwa miaka mingi eti, kilichonishitua Sana ni trend za bei za n'gombe Kwa Sasa,nimekaa nimejiwazia hivi katika shamba langu la parachichi nifuge niweke na mifugo, ngombe, kuku,samaki , budget niliyopanga haiendani na ninachokutana nayo ni tofauti kanisa, aisee ni wiki Sasa nazurula hii jombe kutafta hao ngombe ,ninachokutana nacho ni bei mpya sana, nimegundua nilivuna ngombe wazee msimu uliopita Kwa hasara niliwauza Kwabei ndogo,jombe bei ni kubwa ,
Pamoja na kuwapenda n'gombe na kuku sipo tayari kumlipia ngombe milioni tatu , it will be another insane business.Hapa nipo njiapanda nitoe ndama shambani niwapeleke huko ama niahirishe tu mabanda yawe tupu ntakuwa nimetia loss,je huko bei za n'gombe zipoje na kuku , na kama bei ni kubwa kama hii njombe, shida ni nini na Kwa nin Ipo hivyo, why bei zimekuwa kubwa hata singida nambiwa bei za kuku wa kienyeji zimechenji Kwa kiasi kikubwa ,kumbe hata bei ya mayai ya kuku wa kienyeji imebadilika shida ni nini , je kinachoendelea ni mlipuko TU wa bei na uhalisia wa soko upoje.mbona bei ya Maziwa na nyama zipo pal pale , lingine naomba niunganishe mkoa uliopo ila huyo awe ni special Kwa maziwa na kuku wawe ni pure kienyeji atleast wawe na uwezo wa kufika mia Ili iwe simple kuwasifirisha