Mwabhleja
JF-Expert Member
- Jan 27, 2016
- 1,351
- 2,061
- Thread starter
- #21
Hakika ulimwengu wa hatma ya uhai una siri nyingiWanakuwa wanabishana na Israel mtoa roho usnitoe mpaka niongee na fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika ulimwengu wa hatma ya uhai una siri nyingiWanakuwa wanabishana na Israel mtoa roho usnitoe mpaka niongee na fulani
Hahaha umenifurahisha MissWanakuwa wanabishana na Israel mtoa roho usnitoe mpaka niongee na fulani
Exactly.Hongera mkuu unajua kujenga hoja
Karibu tenaHahaha umenifurahisha Miss
Asante miss chagaKaribu tena
Hivi mkuu Eliya alikufa baada ya kumwita mtoto wake ambarikiHii huwa inatokea katika jamii zetu.
Ni kwamba anayetarajia kufa huwa anamwomba mtu ili amwone na azungumze naye ndipo afe.
Kwahiyo anawaagiza watu wakamlete.
Wale watu wakirudi na kusema huyo mtu hawezi kuja katika kipindi husika basi huyo mzee anakufa na wala hasubiri hadi leo kama unavyosema.
Mgonjwa anapoomba kukutana na mtu ili ampe urithi au baraka au neno la mwisho anaangalia hali yake kiroho na anajua kuwa hana mda mrefu atafariki.
Ndipo sasa hutumia huo mda uliobaki kuomba kuonana na mtu wake anayetaka amuage na akikosekana katika kipindi alichokitaja basi huridhika na hufa.
Ukisoma hata vitabu vya dini utaona akina Isaka, Yakobo, Nuhu, Rutu, Eliya nk. Walikuwa wanawaita watoto wao, wanawabariki wanawarithisha ndipo wanafariki.
Mara nyingi hasa ukiwa mtu mwema unajua mda wa kifo chako hivyo unajiandaa vizuri kutubu na kuaga wapendwa wako.
Unajua kabisa unapo karibia kufa mwili hawa katika hali ambayo haijawahi kukutokea na unapiga kengele ya kifo kama unavyoisikia kengele ya njaa, kiu, haja, homa nk.
Haya mambo yapo.
Wangekufa lakini pangekuwa taabu kwa watajwa ambao walitafutwa hawakufika.Mkuu unataka kutuaminisha kuwa kama hao walioaga wasingetimiziwa matakwa yao wasingefariki hadi leo????
Sio mtoto tu hata jamaa wa karibu unaweza kumsubiria na kumwaga.
Uko sawa kabisa mkuu, hili suala linagusa mpaka Imani za dini kwa rejea hiyo!Nilisoma kwenye Bible kuna mzee mmoja alikuwa anakaa hekaruni akisubiri Yesu azaliwe,
Alipomuona tu akamshika mkononi akasema "sasa Bwana waweza kumruhusu mtumishi wako aende kwa amani" This means IMANI HUTENDA
![]()
Private geologist
unafikiri kuna aina yoyote ya nguvu hapo inayohusiana kama wengine wanavyodhani..?Ni kweli swala hili huwa linatokea na mara nyingine watu hawa huwa wanakufa kabla ya walioagiza waitwe hawajafika!
Binafsi nadhani huwa wanataka kuagana nao tu na ndio maana ikitokea mtu huyo hajafika mapema basi huwa wanakufa bila kuonana na waliohitaji kuwaona
Good precedentNilisoma kwenye Bible kuna mzee mmoja alikuwa anakaa hekaruni akisubiri Yesu azaliwe,
Alipomuona tu akamshika mkononi akasema "sasa Bwana waweza kumruhusu mtumishi wako aende kwa amani" This means IMANI HUTENDA
![]()
Private geologist
critical thinking and argumentation.Kwa Udsm hii ni PL100Mkuu unataka kutuaminisha kuwa kama hao walioaga wasingetimiziwa matakwa yao wasingefariki hadi leo????
wacha porojo et anaamua kufa,kifo ingekuwa maamuzi hakun ambay angekubal!Kuna stage of death,binadam hana tofaut na myama ie kujitenga,,kutoona vizur,,kukosa ham ya kula,,but during the last stage of death controlled by emotion,,, yaan in that stage mtu anaweza kuamua kufa au asife,,kwa mfano mtu mwingine akihudumiwa vizur na akaridhika during this stage she,he may survive for several hour or day,kumbuka stage hii inatokea kama kuna natural death but not accident or attack
Sent using Jamii Forums mobile app
porojo hizo,ulisikia mazungumzo yao.Thibitisha!Wanakuwa wanabishana na Israel mtoa roho usnitoe mpaka niongee na fulani