Inakuwaje mtu anagoma kufa mpaka amuone mtu anayemhitaji kumuona?

Ukweli ni kwamba kuna madude fulani ya kishirikina wanakuwa wamemeza wazee hao, anaweza kuugua mpaka akaanza kuoza kabisa mwili lakini bado akawa anapumua na ikawa kero mpaka kwa wanaemuudumia. Sasa ili aweze kurest in pisi anamchagua mtoto ama mjukuu anayempenda anamrithisha madude yale na ndipo anapata nafasi ya kuondoka. Kama utafuatilia wanaosubiriwa kwa hamu namna hiyo nao huishi maisha marefu na ya taabu mwishoni kama waliowarithisha
 
Hivi mkuu Eliya alikufa baada ya kumwita mtoto wake ambariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisoma kwenye Bible kuna mzee mmoja alikuwa anakaa hekaruni akisubiri Yesu azaliwe,
Alipomuona tu akamshika mkononi akasema "sasa Bwana waweza kumruhusu mtumishi wako aende kwa amani" This means IMANI HUTENDA



Private geologist
 
Inategemea rafiki yangu aliachika kisa hila za mawifi na mkwe, cha ajabu mkwe aliugua akalazwa hospital akaomba sana aitwe mtalaka wa mwanae aongee nae ndugu hawakumwita aliomba sana hadi akafa bila ya kumuona na wifi zake wawili ni hivyo hivyo lakini mtalaka haitwi hadi wanakufa, naamini siku ikifika atakufa tu bila ya kumuona anayemtaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mkuu Eliya alikufa baada ya kumwita mtoto wake ambariki

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mtoto tu hata jamaa wa karibu unaweza kumsubiria na kumwaga.

Eliya alimuaga Erisha hadi akamwambia,
"kama utaniona nitakapo ondoka basi ombi lako litakubaliwa"

Elisha akasema sikuachi hadi nione ukiondoka na ghafla gari la moto likamchua Eliya na kuondoka huku Elisha akiliona koti la Eliya likimdondokea na akalichukua.

Sio lazima wawe watoto au ndugu wa karibu. Inawezekana akawa rafiki au jirani.
 
Nimeshudia matukio mengi yanayo fanana na hayo..unaweza kuta mtu yupo kwenye hali mbaya ya kufa..pengine ata kauli amekata
Lakini akatokea mtu, yule mgonjwa akapata nafuu ya ghafla na akaongea vizuri na mtu wake..lakini utashangaa baada ya masaa unasikia kafariki..
Kama ad sasa amna mwenye wakika baada ya mauti nini kinaendelea basi ata hili limefichwa na tutabaki kusadiki tu.

young kilimanjaro
 
Nilisoma kwenye Bible kuna mzee mmoja alikuwa anakaa hekaruni akisubiri Yesu azaliwe,
Alipomuona tu akamshika mkononi akasema "sasa Bwana waweza kumruhusu mtumishi wako aende kwa amani" This means IMANI HUTENDA



Private geologist
Uko sawa kabisa mkuu, hili suala linagusa mpaka Imani za dini kwa rejea hiyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakika ya mauti kuna ulevi" hio ni kauli ya mtume wetu muhammad, ila ukiangalia hata kimedical kuna stage fulani before death nimeisahau nikija kuikumbuka nta edit ...
its happen a condition yule mgonjwa anachangamka then suddenly ana shutdown...
 
unafikiri kuna aina yoyote ya nguvu hapo inayohusiana kama wengine wanavyodhani..?
 
Nilisoma kwenye Bible kuna mzee mmoja alikuwa anakaa hekaruni akisubiri Yesu azaliwe,
Alipomuona tu akamshika mkononi akasema "sasa Bwana waweza kumruhusu mtumishi wako aende kwa amani" This means IMANI HUTENDA



Private geologist
Good precedent
 
wacha porojo et anaamua kufa,kifo ingekuwa maamuzi hakun ambay angekubal!
ushaexperience kifo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…