Inakuwaje mtu anakufundisha kuchukia mtu mwingine kwa jina la dini? Fikra pevu yako iko wapi? Reasoning yako iko wapi? Utu wako uko wapi?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
"Peace cannot be kept by force, it can only be kept by understanding."
Albert Einstein

Hata hauwezi ukajiuliza kwamba existence ya hapa duniani ni kutokana na hali ya kutegemeana?

Bila ya technology kubwa ya mzungu, je mwarabu angeweza kuvuta na ku-process mafuta kwa kiwango kikubwa?

Bila ya mwarabu kugundua upasuaji mzungu angewezaje kuwa fundi mkuu wa maswala ya afya ya upasuaji duniani.

Tumeamua kuwa wahanga wa upumbavu wa watu wachache ambao hata huko kaburini wanatucheka sana kwamba ni namna gani wamefaulu kutapeli fikra zetu na sisi tukaingia kingi.

NAJUA ZITAKUJA COMMENTS ZA OVYO OVYO ZA KEJELI ILA TAMBUA UTAKACHO COMMENT SIO MSIMAMO WAKO BINAFSI ILA NI WA DINI YAKO.
 
imagine mtu anatufundisha kusherehekea sherehe za uongo, eti Yesu alizaliwa 25.12 kwa ushahidi upi
acheni hizo
 
"Peace cannot be kept by force, it can only be kept by understanding."
Albert Einstein

Hata hauwezi ukajiuliza kwamba existence ya hapa duniani ni kutokana na hali ya kutegemeana?

Bila ya technology kubwa ya mzungu, je mwarabu angeweza kuvuta na ku-process mafuta kwa kiwango kikubwa?

Bila ya mwarabu kugundua upasuaji mzungu angewezaje kuwa fundi mkuu wa maswala ya afya ya upasuaji duniani.

Tumeamua kuwa wahanga wa upumbavu wa watu wachache ambao hata huko kaburini wanatucheka sana kwamba ni namna gani wamefaulu kutapeli fikra zetu na sisi tukaingia kingi.

NAJUA ZITAKUJA COMMENTS ZA OVYO OVYO ZA KEJELI ILA TAMBUA UTAKACHO COMMENT SIO MSIMAMO WAKO BINAFSI ILA NI WA DINI YAKO.
Kumlaum/kumshangaa mhanga wa dini sio msaada, msaada kwake ni kumpa ABC za kuutoka utumwa huo unaomfanya aishi kinyume na asili
 
Inasikitisha mnoo. Hapo mashariki ya kati ningeshauri Irani awe Eliminated mazima kwenye uso wa dunia. Huwezi kupambana na Proxies kama Hamas,Houth,Hezibolar na vikundi vingine vya kigaidi..bila kupambana na mzizi wa hivyo vikundi kwa maana ya anaye wawezesha ambaye ni Irani. Utavipunguza tu nguvu na baadae vitawezeshwa tena na kuendelea na tabia zile zile.

Hivyo Irani anapaswa kupigwa kwa nguvu zote awe paralyzed mazima na asinyanyuke tena. Naamini mashariki ya kati itarejea kwenye utulivu
 
Makini kabisa
 
Dini inayokufundisha chuki, yaani uwachukie wengine hiyo haifai kabisa, Yesu amesisitiza zaidi juu ya upendo tena anasema mkipendana ninyi kwa ninyi mtakuwa mmefanya la ziada gani? maana yake anatoa wigo wa upendo kwa mkristo iweje, ndo maana anasema wapendeni adui zenu
Haswaa
 
"Peace cannot be kept by force, it can only be kept by understanding."
Albert Einstein

Hata hauwezi ukajiuliza kwamba existence ya hapa duniani ni kutokana na hali ya kutegemeana?

Bila ya technology kubwa ya mzungu, je mwarabu angeweza kuvuta na ku-process mafuta kwa kiwango kikubwa?

Bila ya mwarabu kugundua upasuaji mzungu angewezaje kuwa fundi mkuu wa maswala ya afya ya upasuaji duniani.

Tumeamua kuwa wahanga wa upumbavu wa watu wachache ambao hata huko kaburini wanatucheka sana kwamba ni namna gani wamefaulu kutapeli fikra zetu na sisi tukaingia kingi.

NAJUA ZITAKUJA COMMENTS ZA OVYO OVYO ZA KEJELI ILA TAMBUA UTAKACHO COMMENT SIO MSIMAMO WAKO BINAFSI ILA NI WA DINI YAKO.

...Jah made this earth,
For every living man to share,
All the earth, all the things of the earth
So how come you get so GREEDY
And forget about EQUALITY
Where is your HUMANITY
You sold you soul for VANITY...

Jah people unite!
By Don Carlos
 
Duuuh powerful words
 
Screenshot_20241007-104846.png
 
Binadamu walio wengi wanaishi magerezani ingawa wanafikiri wapo huru. Ukikubali kulishwa uongo utashiba uongo na utastawi katika uongo. Inasikitisha sana.
Unalishwa uongo kuhusu ulimwengu toka utotoni, uongo huo ndo unakua ukweli wako na mwongozo wa maisha yako hadi utakapobahatika kuwaza nje ya box, jambo ambalo ni gum sana kulingana na mashudu tuliyolishwa.
 
Back
Top Bottom