Inakuwaje mtu anakufundisha kuchukia mtu mwingine kwa jina la dini? Fikra pevu yako iko wapi? Reasoning yako iko wapi? Utu wako uko wapi?

Bila shaka leo nipo pamoja na wewe
 
Lakini jua Mungu mwenyewe hayupo hivi
 
Hizi mada zimekuwa nyingi hadi kuzoeleka. Kikubwa kwenye haya maisha ni ngono na mkono kwenda kinywani baas ukisubiria kufa.

Kwanini kuangaika angaika?
 
Kuendekeza chuki za kiimani ni ishara tosha ya upungufu wa akili kichwani. Imani ya mtu isiwe kikwazo kwako mpka endapo itakapo hatarisha usalama wako ama viumbe wengine wasiokua na hatia
 
Katika ulimwengu jambo la muhimu na kubwa kuliko yote ni KUJITAMBUA, kujifahamu na kujiuliza mimi ni nani? Nimetoka wapi? Nilikuwa wapi? Kwanini nimezaliwa? Je, kusudi la uwepo wangu ni nini? Na maswali mengine n.k

Utambulisho au identity yako ndio ufunguo malaya wa maswali yote ambayo unatafuta majibu yake. Siku utakapogundua na kujitambua ndio mwanzo wa uamsho wako.
 
Sio vibaya ukashusha nondo
By nature binadam ni mwema ndo maana akitenda ubaya hujutia, kilichomtoa ktk asili yake ni nadharia ya EVIL

Nadharia ya evil ndo anguko la mwanadam, inayotufanya watumwa wa evil circle bila kujua.

Nadharia ya evil kwa sasa ndo mfumo endeshi wa matendo yetu, hata imani zetu zimejengwa ktk msingi wa nadharia hii ndo maana hata uwe na imani kubwa kias gan huwezi ushinda uovu kwa 100%.

Kuna vitu ni miradi ya watu hivo haipaswi kuijadili sana, zaidi ya kutafuta suluhu za kibinafsi.
 

Na hiyo nadharia iliibukaje au iliibuliwa na nini au nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…