kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,150
Wakuu hii imekaaje?
Unakuta mtu anaonea wanyonge labda Kwa kuwadhulumu mashamba,nyumba anaiba,anauza ung (drugs),bange, na biashara pamoja na dili zote haramu halafu anadunda tu mtaani miaka na miaka,na serikali na Mungu wanamuona na hakuna kinachomkuta hii imekaaje?