kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,150
Mbona umeguna mkuu?Mmmh
toa mfano, la sivyo vijana watakwambia unaota amka utakojoa kitandanWakuu hii imekaaje?
Unakuta mtu anaonea wanyonge labda Kwa kuwadhulumu mashamba,nyumba anaiba,anauza ung (drugs),bange, na biashara pamoja na dili zote haramu halafu anadunda tu mtaani miaka na miaka,na serikali na Mungu wanamuona na hakuna kinachomkuta hii imekaaje?
Mkuu mifano tena kwani mtaani unapoishi hakuna watu km hao? Au mafisadi?toa mfano, la sivyo vijana watakwambia unaota amka utakojoa kitandan
Nakubaliana na wewe mkuu!Mfatilie polepole atayajua mengi