Ngumu kushabikia timu zisizoleta msisimko. Mimi hata hizo Yanga na Simba zenyewe naona mizinguo tu. Tutang'ang'ana na league za wenzetu, zina akili kwa kweli.
Kama hizi timu zetu zingeonesha potential tungekuwa na mapenzi nazo, lakini kila siku ni heart break. Hawatupi sababu za kuzishangilia.Lkn zitaletaje msisimko kama hakuna anayezijali? Hizo za nje unaziona hivyo kwa sababu wanachama wao hawasemi kama wewe, kumbuka mpira ni wanachama na ndiyo maana wanaziita Clubs kuna sababu!
Kama hizi timu zetu zingeonesha potential tungekuwa na mapenzi nazo, lakini kila siku ni heart break. Hawatupi sababu za kuzishangilia.
Potential ndio inayojengwa. Sasa hata kiwanja huna, where do you put that foundation? Hewani??Kwa hiyo ulitaka wengine wajenge na wewe uje tu kushabika? Nafikiri inaelekea unapenda mpira lkn haulewi maana ya football club!