Inakuwaje Mutual Fund za Kenya zinatoa faida 25%?

Inakuwaje Mutual Fund za Kenya zinatoa faida 25%?

Nimeshangaa sana watu wanakula faida 25% kwa mwaka tofauti na hapa bongo kubwa ni 15% huku wengi wakiishia 12%
Kulikoni wadau,
Mh kwa record zangu MMF za kenya mwaka huu na mwaka
Jana zilifika 18% tena kama Sikosei waliofika 18% ni cyton na lofty ila Wengine wako btwn 13% hadi 16% Sijawah sikia MMF or MF za kenya zinafika 20% .

Kenys wana MF nyingi sana na zimeanza zaman sana 20yrs ago na sasa hivi wameingia kwa fyjo kwenye ETF's

By the way niko kwenye moja ya ETF yao..
 
Mh kwa record zangu MMF za kenya mwakanhuu na mwaka
Jana zilifika 18% kama Sikosei waliofika 18% ni cyton na lofty ila Wengine wako btwn 13% hadi 16% Sijawah sikia MMF or MF za kenya zinafika 20% .

Govt Bond za ke
Hata 18 sio kiduchu mkuu
 
Hata 18 sio kiduchu mkuu
Kabisa 18% ni rate nzuri kabisa infact any rate above 10% ni rate nzuri maana automaticaly inakulinda na inflation

% za inflation za nchi nyingi dunian ambapo inachukuliwa kuwa ni normal au stable inflation linapokuja swala la ukuaji wa kiuchumi inatakiwa isizidi 5% kwa mwaka so ukipata uwekezaji wa passive unaokupa 10% interest sio haba
 
Nimeshangaa sana watu wanakula faida 25% kwa mwaka tofauti na hapa bongo kubwa ni 15% huku wengi wakiishia 12%
Kulikoni wadau,
Mutual funds za kenya zina investment opportunities nyingi, pia public companies za huko ni kati ya companies zinazofanya vzr sana africa. Angalia tu NSE-ASI (Index ya Nairobi exchange) imetoa return ya 34.69% kwa mwaka huu. That means kama tu kwa mwanzo wa mwaka ungenunua index ya NSE-ASI ungekua na return ya 34.69%

Soko lao la hisa limechangamka sana sio kama letu. So funds nyingi za kibongo zinaishia kuwekeza kwenye bonds pekee na sidhan hata kama zinadeal na private equity.
 
Duh 34% huku ndio kwenyewe sasa
 
Back
Top Bottom