kayanda01
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,216
- 1,062
Mh kwa record zangu MMF za kenya mwaka huu na mwaka
Jana zilifika 18% tena kama Sikosei waliofika 18% ni cyton na lofty ila Wengine wako btwn 13% hadi 16% Sijawah sikia MMF or MF za kenya zinafika 20% .
Kenys wana MF nyingi sana na zimeanza zaman sana 20yrs ago na sasa hivi wameingia kwa fyjo kwenye ETF's
By the way niko kwenye moja ya ETF yao..
Mkuu Fredwash , kwahiyo kuwekeza huko mf/mmf Kenya kuna faida zaidi kuliko hizi mf za Tz?
Wanaruhusu foreign investors? na kama wanaruhusu, risk ni ipi kwa mtu kuwekeza kwenye mutual funds za nchi nyingine ambayo siyo raia wa nchi hiyo?